Olengurumwa asimulia alichoambiwa na Padre Kitima baada ya kumtembelea hospitali

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,729
Reaction score
5,637
Kwa mazungumzo niliofanya naye ni kwamba, jana aliweza kuitisha vikao kwa viongozi wa dini zote kwaajili ya kutafakari ya jumbe zao walizozitoa wakati wa Idd na Pasaka na walikuwa viongozi trakibani 100 na wakamaliza vikao vyao salama na ndipo baadae jioni wakati anakwenda msalani katika eneo la kantini wakatoka watu wa wili ambao walikuwa wanakula katika eneo la kantini, wakaenda kumshambulia kwa vitu vizito ndani ya choo. Amesema Olengurumwa

Soma Pia: Padri Kitima ashambuliwa na watu wasiojulikana. Inadaiwa hali yake ni mbaya

Watu wa kanisa fanyeni mpango mchukue fingerprints kwenye vitu au vyombo walivyotumia washambuliaji.
Serikali itoe ushirikiano kwenye database ya fingerprints za NIDA na Tume ya Uchaguzi.
Lengo serikali ijivue lawama.
Hii ni aibu kubwa.
Kuna watu wanataka utabiri wa kikaratasi cheupe wa TumainiEL utimie.
Watu waliomshambulia Fr.Kitima wanampango wa kumchafua na kumharibia .....
 
Hii serikali irajivua lawama.
Hao ni Uvccm ndiyo wamefanya hilo shambulio hawawezi kuguswa wanamfurahisha Mzanzibari.
 
Watanzania wengine ndo mnatupwa huko mtoni na porini.

Kumshambulia katibu wa baraza la maaskofu ni sawa na kulishambulia baraza lenyewe.

Ni sawa na kujaribu kuiba nyaraka za maaskofu na kanisa katoliki.

Ni sawa na kufifisha jitihada za kanisa kufanya kazi zake za uinjilishaji kwa makusudi.

Ni sawa na kuliambia kanisa tunaweza kuwaua nyinyi viongozi.

Ni sawa na kuwatisha waamini wa kikatoliki

Ni sawa na kuwatisha wapigania haki wote.
 
Watu wa kanisa fanyeni mpango mchukue fingerprints kwenye vitu au vyombo walivyotumia washambuliaji.
Serikali itoe ushirikiano kwenye database ya fingerprints za NIDA na Tume ya Uchaguzi.
Lengo serikali ijivue lawama.
Hii ni aibu kubwa.
Kuna watu wanataka utabiri wa kikaratasi cheupe wa TumainiEL utimie.
Watu waliomshambulia Fr.Kitima wanampango wa kumchafua na kumharibia .....
Serikali ipi..?
 
Watanzania wengine ndo mnatupwa huko mtoni na porini.

Kumshambulia katibu wa baraza la maaskofu ni sawa na kulishambulia baraza lenyewe.

Ni sawa na kujaribu kuiba nyaraka za maaskofu na kanisa katoliki.

Ni sawa na kufifisha jitihada za kanisa kufanya kazi zake za uinjilishaji kwa makusudi.

Ni sawa na kuliambia kanisa tunaweza kuwaua nyinyi viongozi.

Ni sawa na kuwatisha waamini wa kikatoliki

Ni sawa na kuwatisha wapigania haki wote.
Point
 
Kwa mazungumzo niliofanya naye ni kwamba, jana aliweza kuitisha vikao kwa viongozi wa dini zote kwaajili ya kutafakari ya jumbe zao walizozitoa wakati wa Idd na Pasaka na walikuwa viongozi trakibani 100 na wakamaliza vikao vyao salama na ndipo baadae jioni wakati anakwenda msalani katika eneo la kantini wakatoka watu wa wili ambao walikuwa wanakula katika eneo la kantini, wakaenda kumshambulia kwa vitu vizito ndani ya choo. Amesema Olengurumwa

Soma Pia: Padri Kitima ashambuliwa na watu wasiojulikana. Inadaiwa hali yake ni mbaya

View attachment 3322150
Hao watu watakuwa wametumwa na Chama Cha Majambazi!

Back
Top Bottom