GE2025 Olengurumwa akosoa tamko la Mawakili wa Serikali kwa Kupinga Uamuzi wa TLS Kuhusu Maandamano ya Mawakili

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,437
Reaction score
5,234
Mratibu Kitaifa wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), Wakili Onesmo Olengurumwa, amekosoa tamko la Chama cha Mawakili wa Serikali (PBA) lililopinga uamuzi wa Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS) kuwataka wanachama wake kuandamana nchi nzima kulaani tukio la kukamatwa kwa Wakili Deogratius Mahinyila katika Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam.

Olengurumwa amesema hatua ya TLS ilikuwa sahihi kwa kuwa inalenga kuwalinda na kuwatetea mawakili wote nchini dhidi ya vitendo vya udhalilishaji au kuzuia utekelezaji wa majukumu yao ya kitaaluma. Ameeleza kuwa uamuzi huo pia ni sehemu ya kulinda heshima ya taaluma ya sheria na kuonesha mshikamano wa kitaaluma pale ambapo mwanachama mmoja anakumbwa na changamoto zinazoweza kudhoofisha uwezo wake wa kutekeleza wajibu wa kisheria.

Olengurumwa amesema hatua ya TLS ilikuwa sahihi kwa kuwa inalenga kuwalinda na kuwatetea mawakili wote nchini dhidi ya vitendo vya udhalilishaji au kuzuia utekelezaji wa majukumu yao ya kitaaluma. Ameeleza kuwa uamuzi huo pia ni sehemu ya kulinda heshima ya taaluma ya sheria na kuonesha mshikamano wa kitaaluma pale ambapo mwanachama mmoja anakumbwa na changamoto zinazoweza kudhoofisha uwezo wake wa kutekeleza wajibu wa kisheria.📌🔨
 
Kilicho wazi sasa hivi ni kwamba lolote linalo pingwa upande wa serikali, hata likiwa baya, waTanzania wote tunatakiwa tulikubali tu. Kwamba serikali kila inacho fanya kipo sahihi!

Hawa mawakili wa serikali hawana tofauti yoyote na watwana wengine wote walioko huko huko serikalini. Hawana sauti yoyote ya kupinga lolote hata kama halipendezi. Wakuu wao wa idara ni wakuu wa kuhimiza utii kwa kila jambo.

Namkumbuka yule President wa hao mawakili wa serikali, aliye sema wao wanaijuwa sheria kuwazidi wengine wote kwa vile wanahusika katika kuziaandaa. Kiongozi wa namna hiyo utategemea nini kutoka kwake!

Huyo anasubiri tu kuzawadiwa endapo Samia atanyang'anya uongozi
 
Wajinga wote, mawakili walipaswa wagome wote washinikize polisi waliompiga mwwnzao wawajibishwe kisheria.

Wao wana lumbana wao kwa wao.

Kwanini TLS isiitishe mgomo badala ya ya maandamano?

Wanafahamu maandamano hayawezi kufanyika kwasababu watanganyika sisi waoga na wajinga, wajaribu mgomo tuone impact yao.
 
Kuwa wakili wa serikali, ni ama uwe mnafiki, au uwe na uwezo mdogo na hivyo kupewa hiyo nafasi kwa upendeleo.

Hoja yoyote ya mawakiili wa serikali ni ya kupuuzwa. Hawa watu hawajawahi kuwa genuine.
 
Back
Top Bottom