Olemedeye sasa awafuata CHADEMA Nyanda za Juu Kusini


TataMadiba

TataMadiba

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2014
Messages
9,662
Likes
4,011
Points
280
Age
35
TataMadiba

TataMadiba

JF-Expert Member
Joined Feb 7, 2014
9,662 4,011 280
Chama cha United Democratic (UDP) kupitia kwa Kaimu Katibu Mkuu, Goodluck Olemedeye kimeanza kampeni ya kimyakimya kusaka wanachama inayoonekana kama kufuatilia nyendo za CHADEMA kwenye Kanda ya Nyanda za Juu Kusini.
13659065_1139060949491695_1576447507426196865_n-jpg.365535
 
M

mchekanapori

Member
Joined
Aug 3, 2012
Messages
50
Likes
47
Points
25
M

mchekanapori

Member
Joined Aug 3, 2012
50 47 25
Chama cha United Democratic (UDP) kupitia kwa Kaimu Katibu Mkuu, Goodluck Olemedeye kimeanza kampeni ya kimyakimya kusaka wanachama inayoonekana kama kufuatilia nyendo za Chadema kwenye Kanda ya Nyanda za juu kusini.
View attachment 365535
Shughuli za siasa zimeanza? 2020 tumeshafika au?..
 
lukesam

lukesam

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2015
Messages
9,000
Likes
13,808
Points
280
lukesam

lukesam

JF-Expert Member
Joined Feb 23, 2015
9,000 13,808 280
Goodluck hana ushawishi wowote wa kisiasa wa kuimaliza CHADEMA.

Kwa lugha nyepesi ni mwanasiasa aliyeko ICU
 
SUPER PREDATOR

SUPER PREDATOR

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2014
Messages
2,089
Likes
289
Points
180
Age
58
SUPER PREDATOR

SUPER PREDATOR

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2014
2,089 289 180
Huyu mzee njaa imeanza kumletea aibu
 
T

treborx

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Messages
4,515
Likes
2,079
Points
280
T

treborx

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2015
4,515 2,079 280
Kwa nini si CCM, CUF au UPDP? Why Chadema?
 
Ndalama

Ndalama

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2011
Messages
8,435
Likes
5,374
Points
280
Ndalama

Ndalama

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2011
8,435 5,374 280
Goodluck hana ushawishi wowote wa kisiasa wa kuimaliza CHADEMA.

Kwa lugha nyepesi ni mwanasiasa aliyeko ICU
Na ausome ushauri wako ahangaike na wengine lakini si wanachama wa UKAWA
 
OSOKONI

OSOKONI

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2011
Messages
10,986
Likes
4,041
Points
280
OSOKONI

OSOKONI

JF-Expert Member
Joined Oct 20, 2011
10,986 4,041 280
ana haki kikatiba pamoja na kamba anapuuza presidential decree
 
Mugunga

Mugunga

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2016
Messages
642
Likes
883
Points
180
Age
46
Mugunga

Mugunga

JF-Expert Member
Joined Jun 13, 2016
642 883 180
Chama cha United Democratic (UDP) kupitia kwa Kaimu Katibu Mkuu, Goodluck Olemedeye kimeanza kampeni ya kimyakimya kusaka wanachama inayoonekana kama kufuatilia nyendo za CHADEMA kwenye Kanda ya Nyanda za Juu Kusini.
View attachment 365535
Hana political influence,hataweza.Halafu kwanini awinde wa CDM tu si ccm au CUF?
 

Forum statistics

Threads 1,236,304
Members 475,050
Posts 29,253,440