Olemedeye sasa awafuata CHADEMA Nyanda za Juu Kusini

TataMadiba

JF-Expert Member
Feb 7, 2014
9,866
5,742
Chama cha United Democratic (UDP) kupitia kwa Kaimu Katibu Mkuu, Goodluck Olemedeye kimeanza kampeni ya kimyakimya kusaka wanachama inayoonekana kama kufuatilia nyendo za CHADEMA kwenye Kanda ya Nyanda za Juu Kusini.
13659065_1139060949491695_1576447507426196865_n.jpg
 
Goodluck hana ushawishi wowote wa kisiasa wa kuimaliza CHADEMA.

Kwa lugha nyepesi ni mwanasiasa aliyeko ICU
 
Chama cha United Democratic (UDP) kupitia kwa Kaimu Katibu Mkuu, Goodluck Olemedeye kimeanza kampeni ya kimyakimya kusaka wanachama inayoonekana kama kufuatilia nyendo za CHADEMA kwenye Kanda ya Nyanda za Juu Kusini.
View attachment 365535
Hana political influence,hataweza.Halafu kwanini awinde wa CDM tu si ccm au CUF?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom