MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,011
- 16,748
Wewe Mganga Mkuu wa hiyo Hospitali nakuheshimu sana na tunajua nini Kinaendelea hapo, sasa ole wako uruhusu Maiti kutoka ili ikafukiwe wafanikiwe Jumamosi kwani nitakuanika rasmi ili Serikali ya Rais Samia imalizane nawe.
Wao si wanajifanya wanajua Kuroga mpaka wakapandisha Waganga wa Kienyeji 17 kwenye Ndege kwenda nao nchini Nigeria na bado wakapigwa? Sasa waambie wawatumie Waganga hao hao hapa Temeke Dar es Salaam Tanzania sawa?
Mlio na Maiti za Wapendwa Ndugu zenu katika Mochwari za Hospitali Kubwa Mkoani Dar es Salaam tafadhali hakikisheni zipo na hazitolewi kwani kuna Watu sasa Mganga wao Mkuu wa Unguja kawaambia wafanye juu chini wafukie Maiti Temeke Stadium ili Jumamosi iwe pona pona yao na Mafanikio.
Nyie Watu wa hiyo Hospitali siwaachi.