Ole wenu nyie Watu wa Hospitali fulani ya Serikali Mkoani Dar es Salaam mtoe Maiti ikafukiwe Mkapa Stadium ili Wahanga wa Nigeria washinde

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,734
Wewe Mganga Mkuu wa hiyo Hospitali nakuheshimu sana na tunajua nini Kinaendelea hapo, sasa ole wako uruhusu Maiti kutoka ili ikafukiwe wafanikiwe Jumamosi kwani nitakuanika rasmi ili Serikali ya Rais Samia imalizane nawe.

Wao si wanajifanya wanajua Kuroga mpaka wakapandisha Waganga wa Kienyeji 17 kwenye Ndege kwenda nao nchini Nigeria na bado wakapigwa? Sasa waambie wawatumie Waganga hao hao hapa Temeke Dar es Salaam Tanzania sawa?

Mlio na Maiti za Wapendwa Ndugu zenu katika Mochwari za Hospitali Kubwa Mkoani Dar es Salaam tafadhali hakikisheni zipo na hazitolewi kwani kuna Watu sasa Mganga wao Mkuu wa Unguja kawaambia wafanye juu chini wafukie Maiti Temeke Stadium ili Jumamosi iwe pona pona yao na Mafanikio.

Nyie Watu wa hiyo Hospitali siwaachi.
 
Sema wee msenge ubaboa kinoma.

Hivi hakuna namna ya kum-ignore member usione threads zake?? Anaejua tafadhali anielekeze.
 
Wewe Mganga Mkuu wa hiyo Hospitali nakuheshimu sana na tunajua nini Kinaendelea hapo, sasa ole wako uruhusu Maiti kutoka ili ikafukiwe wafanikiwe Jumamosi kwani nitakuanika rasmi ili Serikali ya Rais Samia imalizane nawe.

Wao si wanajifanya wanajua Kuroga mpaka wakapandisha Waganga wa Kienyeji 17 kwenye Ndege kwenda nao nchini Nigeria na bado wakapigwa? Sasa waambie wawatumie Waganga hao hao hapa Temeke Dar es Salaam Tanzania sawa?

Mlio na Maiti za Wapendwa Ndugu zenu katika Mochwari za Hospitali Kubwa Mkoani Dar es Salaam tafadhali hakikisheni zipo na hazitolewi kwani kuna Watu sasa Mganga wao Mkuu wa Unguja kawaambia wafanye juu chini wafukie Maiti Temeke Stadium ili Jumamosi iwe pona pona yao na Mafanikio.

Nyie Watu wa hiyo Hospitali siwaachi.
Fanya kazi upate pesa ukazuie hiyo maiti isitolewe,wenye pesa watapewa maiti na hakuna kitu unaweza fanya..fankulo.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom