Ole wenu CHADEMA!

This is 2015 na Mbowe bado yuko strong.
10 years later, 2025, Mbowe yuko weak baada ya wanachama kumkataa kwenye sanduku la kura. Ajabu ameamua kuwa kimya kabisa, na anahusishwa zaidi kuhama kwa wanachama wake kwenda chama kingine cha upinzani Chaumma.

Tetesi ni kwamba atakuwa sehemu ya chama hicho.
 
ni tabia yao tu ya kujipendekeza ambayo watanzania wengi tunayo, ila wengine hatujaionesha kwa sababu hatuna njia za kuonesha.
Kitila kumbe ulikua unapambana kuionesha njia ya kujipendekeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…