Ole wenu CHADEMA mkajidanganya

H
Hii huruma na nia njema kwa CDM imetoka wapi? Shetani kazini!
 
Halima assignee zaidi atajiharibia sifa zaidi ni aibu kwa wanawake kuwa wasaliti!!!
 
H

Hii huruma na nia njema kwa CDM imetoka wapi? Shetani kazini!
Mkuu siasa zetu mdomoni si nzuri, Ila ki uhalisia, mioyo inasema, upinzani ni wa mhimu kuliko maneno yanayotutoka mkuu

Upinzani ndio engine ya kusukuma maendeleo mkuu, usiangalie uwingi wa maneno yanayotutoka wanasiasa
 
Kuna vimitego ambavyo wanasiasa na Vyama hupenda kutegeana, Chama kikiingia mtegoni, kinadhoofu, lakini bado, hiyo sio Nia ya kuuwa upinzani, ni kudhofishana tu, na hili, Tayari Chadema wamekubali kuingia mtego huo, linalofuata ni Chama kudhoofu na waspoangalia, kidonda hiki kinaweza kuchukua muda ndipo kipate nafuu
 
Mkuu siasa zetu mdomoni si nzuri, Ila ki uhalisia, mioyo inasema, upinzani ni wa mhimu kuliko maneno yanayotutoka mkuu

Upinzani ndio engine ya kusukuma maendeleo mkuu, usiangalie uwingi wa maneno yanayotutoka wanasiasa
Kuanzia Leo nitaanza kuheshimu mawazo yako, kumbe unajua kila kitu kinachohusu siasa, na umuhimu wa siasa za ushindani.
Je, huko CCM ni wewe pekee unayejua haya au mko wengi?
 
Mkuu siasa zetu mdomoni si nzuri, Ila ki uhalisia, mioyo inasema, upinzani ni wa mhimu kuliko maneno yanayotutoka mkuu

Upinzani ndio engine ya kusukuma maendeleo mkuu, usiangalie uwingi wa maneno yanayotutoka wana

Mkuu siasa zetu mdomoni si nzuri, Ila ki uhalisia, mioyo inasema, upinzani ni wa mhimu kuliko maneno yanayotutoka mkuu

Upinzani ndio engine ya kusukuma maendeleo mkuu, usiangalie uwingi wa maneno yanayotutoka wanasiasa
Ni kweli.Ila tatizo si maneno ya wanasiasa tu bali nchi kwa ujumla wetu. RAIA TUMEWEKEZA ZAIDI KWA WANASIASA,AMBAO WENGI WAO MWL.NYERERE ALIWAITA "wenye tabia za malaya".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…