paul sylvester
JF-Expert Member
- Mar 18, 2020
- 3,503
- 3,501
Sawa PhD!!!PHD AKATOMA
Kwa hiyo siku hizi umekuwa ukiitakia mema CHADEMA?Mfukuzeni Halima & Cos muone madhara yake.Itawagharimu kwa miaka 25 kurudi kwenye reli
Mfukuzeni Halima & Cos muone madhara yake.Itawagharimu kwa miaka 25 kurudi kwenye reli
Usingemcharukia jamaa hivyo, aisee! "memento homo" --- remember you are only human!UWE UNATAFAKARI KABLA YA KUANDIKA. HUWEZI KUMUANDIKIA PHD AKATOMA UJINGA KAMA UO.
JITAHIDI KUWA NA UANDISHI MZURI SIO KUKURUPUKA.
Mkuu, nchi ikiosa upinzani itakuwa kituko!Leo mnaipenda CHADEMA hadi muitakie mema?
Nchi ikikosa upinzani mambo yatakwenda shaghala baghala, shida ni upinzani wa Aina gani ndio hojaKwa hiyo siku hizi umekuwa ukiitakia mema CHADEMA?
PhD, unamatatizo mahali mkuu, acheni kuwafanya vijana wasitafute PhD zao kwa mionekano yenu ninyi PhD feliaUWE UNATAFAKARI KABLA YA KUANDIKA. HUWEZI KUMUANDIKIA PHD AKATOMA UJINGA KAMA UO.
JITAHIDI KUWA NA UANDISHI MZURI SIO KUKURUPUKA.
Mimi ni mwanachama wa CHADEMA acha ulofaKwa hiyo siku hizi umekuwa ukiitakia mema CHADEMA?
Mlivyokuwa mnaingiza kura fake kule Kawe na kwingineko hamkujua kuwa nchi itakosa upinzani?Nchi ikikosa upinzani mambo yatakwenda shaghala baghala, shida ni upinzani wa Aina gani ndio hoja
Wewe ndio uache upimbi. Nani asiyekujua wewe kama ni mojawapo ya mazombi la Lumumba.Mimi ni mwanachama wa chadema acha ulofa