Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 16,818
- 62,032
Ushuhuda wa uongo ni miongoni.mwa madhambi makubwa sana mbele ya Mwenyezi Mungu.
Miongoni mwa Amri 10 za Mungu ni kuwa usimshuhudie mtu uongo.
Sasa ole wao wanaopanga kuwashuhudia wenzao uongo, mbele ya mahakimu, hao ni watu wanaovunja amri za Mwenyezi Mungu waziwazi kwa ajili ya maslahi machache ya duniani.
Niwakumbushe tu kuwa zile Amri 10 ziliandikwa na Mwenyezi Mungu mwenyewe, Kuzivunja kwa makusudi kwa sababu ya vyeo vya duniani au fedha ni kujitafutia matatizo.
Wanaopanga kushuhudia wenzenu uongo acheni, halina mwisho mwema hilo!