Ole wako boss akufume...!!

Ole wako boss akufume...!!

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,459
Reaction score
872,114
1415042438905.jpg
 
Umetumwa kufanya usafi chumbani si kucheza juu ya kitanda cha boss
 
Inategemea na jinsia ya boss. Kama ni boss wa kiume si mnacheza wote tu! Kuna michezo chungu mzima.
 
Umetumwa kufanya usafi chumbani si kucheza juu ya kitanda cha boss

Hahaaaa umenikumbusha mbali sana kuna moja kali ilitokea jamaa wana pesa za ushehe wakajenga hekalu lao na kufunga camera ndani na nje ya nyumba yao sasa wakaweka wafanyakazi.wa ndani na wengine wa nje kwa ajili ya usafi na garden sasa asubuhi baba na mama mwenye nyumba si huwa wanaenda kutafuta riziki na kurudi jioni huku nyuma kuna siku huwa wanaacha funguo kwa ajili ya kufanyiwa usafi chumbani kwao kumbe vijana wa kazi washapendana unajua kilicho tokea kile chumba cha boss ndio kilikuwa gest house hamadi siku wana kuja kuangalia marudio ya kwenye kirekodi chao hawakuamini walichokiona na kuwaambia hawakudhubutu zaidi ya kufunga chumba na kuzitoa zile camera za ndani wasijeyaona ya firauni zaidi wasichana wa kazi wana mambo mwee.
 
huenda wanacheza kwa kulaliana Leo ameona acheze peke yake kujinafasi zaidi
 
Anapima ubora wa kitanda wageni wakiwa wanaselebuka isije tokea kitanda kinavunjika
 
Hahaaaa umenikumbusha mbali sana kuna moja kali ilitokea jamaa wana pesa za ushehe wakajenga hekalu lao na kufunga camera ndani na nje ya nyumba yao sasa wakaweka wafanyakazi.wa ndani na wengine wa nje kwa ajili ya usafi na garden sasa asubuhi baba na mama mwenye nyumba si huwa wanaenda kutafuta riziki na kurudi jioni huku nyuma kuna siku huwa wanaacha funguo kwa ajili ya kufanyiwa usafi chumbani kwao kumbe vijana wa kazi washapendana unajua kilicho tokea kile chumba cha boss ndio kilikuwa gest house hamadi siku wana kuja kuangalia marudio ya kwenye kirekodi chao hawakuamini walichokiona na kuwaambia hawakudhubutu zaidi ya kufunga chumba na kuzitoa zile camera za ndani wasijeyaona ya firauni zaidi wasichana wa kazi wana mambo mwee.

CCTV ndani ya nyumba ni noma utaona mengi mabaya
-housegirl anavyotoa nguo zako nzuri kwa muuza mitumba na kupewa vipedo na nguo nyingine kuuukuu
-anavyogawa chakula na vitu vya ndani kwa ndugu jamaa marafiki na wachumba
-ansvyogegedwa na ambao hukuwategemea kabisa
-wanavyovaa nguo za wanao na kupiga nazo picha
-anavyojisevia finyango na firigisi nk nk nk
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom