lazaro mayan
Member
- Aug 28, 2015
- 90
- 64
*Shukurani Kwetu Makamanda*
Awali ya yote nimshukuru Mungu kwa uzima aliotuonekania wote sisi viongozi wa Bavicha na wanachama wote.
Nitumie fursa hii adhimu sana kwa kifupi tu, kuwa shukuru vijana wote nchi nzima kwa support kubwa na hamasa mliyoionyesha tangu Bavicha tutoe tamko la kwenda Dodoma kuzuia mkusanyiko haramu wa CCM kufuatia kauli ya Jeshi la Polisi na Rais Mwema sana.
Tumepitia changamoto mbalimbali ambazo mpaka sasa adhima yetu imefanikiwa kwa zaidi ya asilimia 99%.
Polisi na serikali wametambua nguvu tuliyonayo, ni kweli kabisa CCM bila polisi niwepesi kuliko tissue paper.
Viongozi wa Bavicha Taifa, mikoa, wilaya na kata tuko imara sana....
Hivi karibu tutawaeleza maamuzi mapya na tutaomba pia vijana wenzetu mtuunge mkono.
Shukrani nyingi sana pia makamanda wote waliotumia muda wao ku-amplify kazi zetu za Bavicha, kupitia Whatsup, FB, JF na Twitter na media zote.
......aluta continua........
*To Be Is To Do*
Ole Sosopi
13 July 2016
Hv Bulembo ni nani? Kazi ya Ole sendeka ni ipi?Kila mtu ni msemaji tu,Ole sosopi ni nani? Petrobas katambi yu wapi?
Hivi vyama vya kisanii vina matatizo sana,kila mtu ni msemaji,haya tunasubiri hayo maamuzi yenu mapya maana mnaonekana hamjaridhika na zuio la mwenyekiti wenu
Bulembo ni mwenyekiti wa Jumuiya ya wazazi,Sendeka ni msemaji wa CcmHv Bulembo ni nani? Kazi ya Ole sendeka ni ipi?
Ile kauli iliyotolewa na Bulembo ilitakiwa kutolewa na nani?Bulembo ni mwenyekiti wa Jumuiya ya wazazi,Sendeka ni msemaji wa Ccm
usawa ndugu, yao inawezekana na ukawa hata kwenda kusalimia ofisi yao waweke sahihi kwenye kitabu cha wageni kuwa walikuwepo eneo hilo napo noo, kama ilikatazwa ingefanywa kwa vyama vyote na sio wao tu iwe yes, kwa wengine ni noo, sasa wamefafanua na wao sasa watafanya mikutano ya ndani,DUUU YAAN HAMNA HOJA TENA JAMAN, WANANCHI WANATAKA MAENDELEO, KUPAMBANA NA OFISADI NA RUSHWA, NYIE MNAPANGA KWENDA KUZUIA MKUTANO, POLE YENU JAMAN MMEPOTEZA DIRECTION HAMJIELEWI
Weka clip tuisikie kama walisema hivyoAsipotangazwa Lowasa tunaingia barabarani~~~ Bavicha (0ctober, 2015)