Ole Sosopi: Tunashukuru wananchi kwa ushirikianao mliotuonyesha, CCM wanabebwa na polisi

lazaro mayan

Member
Aug 28, 2015
90
64
*Shukurani Kwetu Makamanda*
Awali ya yote nimshukuru Mungu kwa uzima aliotuonekania wote sisi viongozi wa Bavicha na wanachama wote.

Nitumie fursa hii adhimu sana kwa kifupi tu, kuwa shukuru vijana wote nchi nzima kwa support kubwa na hamasa mliyoionyesha tangu Bavicha tutoe tamko la kwenda Dodoma kuzuia mkusanyiko haramu wa CCM kufuatia kauli ya Jeshi la Polisi na Rais Mwema sana.
Tumepitia changamoto mbalimbali ambazo mpaka sasa adhima yetu imefanikiwa kwa zaidi ya asilimia 99%.

Polisi na serikali wametambua nguvu tuliyonayo, ni kweli kabisa CCM bila polisi niwepesi kuliko tissue paper.
Viongozi wa Bavicha Taifa, mikoa, wilaya na kata tuko imara sana....
Hivi karibu tutawaeleza maamuzi mapya na tutaomba pia vijana wenzetu mtuunge mkono.
Shukrani nyingi sana pia makamanda wote waliotumia muda wao ku-amplify kazi zetu za Bavicha, kupitia Whatsup, FB, JF na Twitter na media zote.
......aluta continua........

*To Be Is To Do*

Ole Sosopi
13 July 2016
 
DUUU YAAN HAMNA HOJA TENA JAMAN, WANANCHI WANATAKA MAENDELEO, KUPAMBANA NA OFISADI NA RUSHWA, NYIE MNAPANGA KWENDA KUZUIA MKUTANO, POLE YENU JAMAN MMEPOTEZA DIRECTION HAMJIELEWI
 
Kila mtu ni msemaji tu,Ole sosopi ni nani? Petrobas katambi yu wapi?
Hivi vyama vya kisanii vina matatizo sana,kila mtu ni msemaji,haya tunasubiri hayo maamuzi yenu mapya maana mnaonekana hamjaridhika na zuio la mwenyekiti wenu
 
Vijana mumefanya jambo kubwa sana. Sasa watu wa Dodoma wamejua kumbe polisi Dodoma wana magari zaidi ya 40, pikipiki nyingi mno, mbwa walionona wa kutosha na silaha za nguvu.

Sasa tukisikia matukio ya ujambazi, kuteka magari na uokozi halafu eti wanashindwa kufika kwa wakati tutajua kuwa wana maslahi binafsi na matukio hayo.
 
DUUU YAAN HAMNA HOJA TENA JAMAN, WANANCHI WANATAKA MAENDELEO, KUPAMBANA NA OFISADI NA RUSHWA, NYIE MNAPANGA KWENDA KUZUIA MKUTANO, POLE YENU JAMAN MMEPOTEZA DIRECTION HAMJIELEWI
usawa ndugu, yao inawezekana na ukawa hata kwenda kusalimia ofisi yao waweke sahihi kwenye kitabu cha wageni kuwa walikuwepo eneo hilo napo noo, kama ilikatazwa ingefanywa kwa vyama vyote na sio wao tu iwe yes, kwa wengine ni noo, sasa wamefafanua na wao sasa watafanya mikutano ya ndani,
 
Kwa kilichofanyika jana Dodoma kilinikumbusha wale wanajeshi walipokua wanafanya mavituzi pale Taifa na ndege zikipita kwa vitisho angani huku mwakilishi wa Kagame akishuhudia...jamani nchi hii.
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom