uwepo wa danguro ni matokeo tu, badala ya kupambana na chanzo serikali inarukia kwenye matokeo.
nini chanzo cha uwepo wa madanguro?? tutafute namna ya kuzuia uwepo wa madanguro, tukikimbilia kuyafunga bila kujua chanzo na kufanya jitihada kukitibu chanzo hicho basi leo ukifungia danguro 1 kesho yatafunguliwa madanguro 10.
ndo ukwel sasa wanavozngua,inakuwa tabu kwetu. Unajua dem ukmtongoza utaanza kuingia gharama hadi utajuta lakin kule buku tatu yako unatoa mzgo wa marais,wez,vbaka na wengne wengi. Mana goli linacontain mambo meng