Ole Sabaya Yuko Wapi? Kila Mahali Haonekani!

Umemsahau mpiga filimbi na hesabu za magazijuto Polepole naye out..!!
 
Yuko kwenye maombi mazito hasa akikumbuka Hamduni leo ndio Boss TakukuruView attachment 1786712

Sent from my vivo 1915 using JamiiForums mobile app
Heee!! .....hili jamaaa utoto mwingi lina miaka mingapi kwani???? ......mnajisumbua tu kukomaa na watoto wadogo km hawa mmchape viboko tu aende zake!!!

Angalia sasa anaimba kwaya na wasabato yaaani !! jiwe sijui alichanganyikiwa nini..............kumteua huyu!!!! mweee!
 
Ole Sabaya kaachiwa jumamosi saa 11 jioni kwa dhamana, masharti asionekane Hai wala asitoke nje ya mkoa wa Arusha mpk uchunguzi utakapo kamilika.
 
Ni mtu mzima ana miaka 34 sema ni mpuuzi tu wa kuzaliwa
 
Mwanasiasa jambazi?
 
Dotto out yuko wapi kijijini au kazi ya awali????? daa lile Jiwe!! jamaa lilikuwa na upendeleo wa waziwazi, tena wa kibabe wa kizamani mno!! Mtu wa kisasa hawezi kuwa na upendeleo wa kijinga hivi, ndo yamemkuta sasa! angalia

Madaktari watumbua usaa na kucheza na damu za watu wenye ukimwi huko labour ward oooh!! eti wana vyeti feki kisa majina yanafanana kuleee out!! walio Masomoni kwa mikopo kureee out!! kisa ili eti akajenge chato!!!

Mwenda zake alikuwa na yake sidhani km yule Alikuwa ni chaguo la Mungu ninaye mjua, ukilinganisha na Mstaafu Mkwere. huyu ni kwa namna nchi ilivo rindima kwa vifijo mpaka Kikwete akatoa chozi hadhalani kwa jinsi hakuamini alivo thaminiwa na watanzania!!!

Lile jiwe lilikuwa chaguo la konde Boy NChe Nkapa Kibabe babe!!! kitendo kile kilimkasirisha Mungu sana hawakujua tu, walitoa maamuzi ajili ya kiburi cha uzima!! Mungu akuwaacha hivihivi akawapa wote muda wa kutubu!!

ila sababu ya kiburi cha uzima , na ukuuu wa kifara!! angalia leo yaliyo wakuta na mahali walipowekwa salama!! walikuwa hawaonyeki wale Rais kufa na kaugonjwa kale amabko anatibiwa na NUrse tu akapona ni uzembe!! nje wangemkataa tu na alijua!!


kule kwetu Wazanaki tunasemaga ''wote wale !!! wote!! MANZI GA NYANZA '' Kuonyesha kuwa ni kweli wanabeba kokoto Ahela hawakupata hata nafasi ya kutubu!! pamoja na kumtaja Mungu mara kwa mara na kusali kanisa lileee la Wazungu!!

AMINI Mungu alisema wazi wazi ''siyo kila aniitae Bwana Bwana ataingia ktk ufalme wa.............. ndo hawa!!!
 
Wana ccm ni wapumbavu sana . Wao wanaamini kwenye uzandiki .yani mtu kama sabaya unamsafishaje sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…