My Son drink water
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 4,930
- 13,335
Siku gaidi akila 30 uje na hizi ngonjera zakoRubbish
Kwahiyo kama kuna majmbazi elfu moja
Akikamatwa mmoja aachwe?
Hao wengine wewe Una ushahidi wa kupeleka mahakamani wakahukumiwa au
Umesikia?..
Hata kama kuna majmbazi milioni hawajakamatwa...akikamatwa mmoja apewe Haji yake ya kifungo..
stop dreaming dude utajikojolea Kwa bedSiku gaidi akila 30 uje na hizi ngonjera zako
atukutaka kuzungumza kwa sababu kesi ilikuwa bado Mahakamani, baada ya hukumu sasa tupo huru kuongea.
Siamanishi kwamba Mahakama haijamtendea haki Sabaya bali naamanisha kwamba si Sabaya peke yake yapo makumi kwa mamia ya chain ya UVCCM waliotesa Watanzania kikatili kwa sababu ya nafasi zao.
Leo imekuwaje iwe Ole Sabaya tu? Kawaida ya wana CCM hujiona wameimaliza Dunia,na hakuna kama wao,wanaamini Tanzania ni mali ya CCM na si Watanzania wote.
Sabaya angejua kuwa yupo Mungu anayelipa kwa haki kutokana na matendo yetu asingejaribu kutesa watu vile.
Hakuwa Sabaya pekee yake ,wapo wengi tu akiwemo na Makonda,kwani mmesahau jinsi alivyovamia kituo cha Clouds ?
Inadaiwa alishiriki pia kumpoteza Ben Saanane.
Sasa iweje Sabaya tu ndo mbaya? CCM ni kichaka cha wahalifu wa Tanzania,ukitaka kufanya maovu ili uwe salama kimbilia CCM.
Ni CCM pekee Duniani pote ambako kuna watu Bilioni ni viji cent na hela ya mboga tu.
Kuna jambo baya Sabaya aliwafanyia vigogo wa CCM ndo maana yamemkuta.
Bila hivyo angekuwa salama tu.
Pole sana. Najua maumivu uliyo nayo.Siku gaidi akila 30 uje na hizi ngonjera zako
amemgaidi maa yako?Siku gaidi akila 30 uje na hizi ngonjera zako
acha maneno ya kishetani, wewe mwisho wako unajua? Kemea maovu yake na si kudhalilisha utu wake. Hujui kesho yakoDaah wahuni jana wameitoa Ile bikra kilaini tu.
Rubbish!Hatukutaka kuzungumza kwa sababu kesi ilikuwa bado Mahakamani, baada ya hukumu sasa tupo huru kuongea.