Ole Sabaya amtaka OCD achunguze wanafunzi wa kiislamu waliochoma shule walitumwa na nani na kwa sababu zipi!

Wenyeji wa Kilimanjaro wajindaa kumzomea mbaya wao pindi atakapotia mguu kwenye mji wa Moshi
 
Itakuwa hoja ya kimbwiga sana!

Kuna tatizo kwenye shule za waislamu na huo ndio ukweli.

Tusifanye kila kitu ni siasa tutauwa taifa!

Tatizo lipo lakini akina Sabaya wanafanya siasa sijui sie wanainchi tufanye biashara?
 
Mwenyekiti wa saccos, safari hii umedakwa kila kona. Wanafunzi lazima wakutaje tu, maana najua mtu Mzalendo na mwadilifu hawezi fanya upuuzi huo.
Mpumbavu unaakli... unawezaje kuleta chuki za kisiasa nadini?Unataka kutugawa?pumbavu kabsa wewe ujui uchaguzi utapta natutaendelea kuishi maisha Kama kawaida,Watu Kama nyie ndio wakuondoa duniani kabsa.....koma kabsa kuingza watu kwenye udini
 
Mkuu wa wilaya ya Hai mh Ole sabaya amempongeza OCD wake kwa kuweza kuwabaini wanafunzi watatu waliochoma shule wakati wenzao wakiwa msikitini.

Ole sabaya amemtaka OCD awahoji watuhumiwa hao ambao ni watoto kwa " kuwabembeleza" ili waweze kuwataja watu walio nyuma ya hujuma hiyo ya kuchoma shule ya waislamu likiwa ni tukio la kwanza wilayani Hai.

Chanzo: ITV habari

My take; Isijekuwa ni hujuma za kisiasa!

Maendeleo hayana vyama.
Mbona wameshahojiwa na wamejibu kuwa walichoma ili chuo kifungwe wapate njia ya kutorosha simu zilizoibwa
 
Mkuu wa wilaya ya Hai mh Ole sabaya amempongeza OCD wake kwa kuweza kuwabaini wanafunzi watatu waliochoma shule wakati wenzao wakiwa msikitini.

Ole sabaya amemtaka OCD awahoji watuhumiwa hao ambao ni watoto kwa " kuwabembeleza" ili waweze kuwataja watu walio nyuma ya hujuma hiyo ya kuchoma shule ya waislamu likiwa ni tukio la kwanza wilayani Hai.

Chanzo: ITV habari

My take; Isijekuwa ni hujuma za kisiasa!

Maendeleo hayana vyama.
kama ni siasa wangechoma nyumba ya huyo Masai koko. common sense!
 
Ngoja uchunguzi wa kina ukamilike bwashee!
Mwambieni Sabaya kuna maisha baada ya Siasa zake. Watanzania tuliishi kwa upendo na kujaliana. Wasituletee mambo ya Burindi na Rwanda. Mwambie Sabaya aende Nanyamba tumevamiwa.
 
Tumechoka ufisadi wa Mbowe
Hapa sabaya anamlenga tu mbowebndio maana anasema kua awabembeleze.

Sabaya ni mtu atari sana,anataka mbowe asishinde kwa kila aina ya matukio.

Sabaya kaa ukijua kua wewe ni Binadamu kama binadamu wengine.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom