johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,035
- 142,147
Ngoja tuone!Mwenyekiti wa saccos, safari hii umedakwa kila kona. Wanafunzi lazima wakutaje tu, maana najua mtu Mzalendo na mwadilifu hawezi fanya upuuzi huo.
Sidhani kama Mbowe anaweza kufanya ujinga wa kuchoma shule ya waislamuHapa sabaya anamlenga tu mbowebndio maana anasema kua awabembeleze.
Sabaya ni mtu atari sana,anataka mbowe asishinde kwa kila aina ya matukio.
Sabaya kaa ukijua kua wewe ni Binadamu kama binadamu wengine.
Uchaguzi pekee umem baka, analia kimoyo moyo.Mwenyekiti wa saccos, safari hii umedakwa kila kona. Wanafunzi lazima wakutaje tu, maana najua mtu Mzalendo na mwadilifu hawezi fanya upuuzi huo.
Alhad + ole sabaya mwenyeweMkuu wa wilaya ya Hai mh Ole sabaya amempongeza OCD wake kwa kuweza kuwabaini wanafunzi watatu waliochoma shule wakati wenzao wakiwa msikitini.
Ole sabaya amemtaka OCD awahoji watuhumiwa hao ambao ni watoto kwa " kuwabembeleza" ili waweze kuwataja watu walio nyuma ya hujuma hiyo ya kuchoma shule ya waislamu likiwa ni tukio la kwanza wilayani Hai.
Source ITV habari
My take; Isijekuwa ni hujuma za kisiasa!
Maendeleo hayana vyama.
Inamhusi vipi wakati.yeye sio mkuu wa wilaya ya Moshi.Mkuu wa wilaya ya Hai mh Ole sabaya amempongeza OCD wake kwa kuweza kuwabaini wanafunzi watatu waliochoma shule wakati wenzao wakiwa msikitini.
Ole sabaya amemtaka OCD awahoji watuhumiwa hao ambao ni watoto kwa " kuwabembeleza" ili waweze kuwataja watu walio nyuma ya hujuma hiyo ya kuchoma shule ya waislamu likiwa ni tukio la kwanza wilayani Hai.
Source ITV habari
My take; Isijekuwa ni hujuma za kisiasa!
Maendeleo hayana vyama.
MpuuziMkuu wa wilaya ya Hai mh Ole sabaya amempongeza OCD wake kwa kuweza kuwabaini wanafunzi watatu waliochoma shule wakati wenzao wakiwa msikitini.
Ole sabaya amemtaka OCD awahoji watuhumiwa hao ambao ni watoto kwa " kuwabembeleza" ili waweze kuwataja watu walio nyuma ya hujuma hiyo ya kuchoma shule ya waislamu likiwa ni tukio la kwanza wilayani Hai.
Source ITV habari
My take; Isijekuwa ni hujuma za kisiasa!
Maendeleo hayana vyama.
Nadhani kitendawili cha Tanzania nzima kitateguliwa na hao wanafunzi!Alhad + ole sabaya mwenyewe
Shule za waislamu zinachomwa kila kona ikiwemo Kimbweru yalipo makao makuu ya bakwata na Mtambani!Sio rahisi lakini alivyoshikwa korodani anaweza kufanya chochote kunusuru ubunge.
Hiyo shule iko wilaya ya Hai bwashee!Inamhusi vipi wakati.yeye sio mkuu wa wilaya ya Moshi.
Toka nione kile kituko cha Jpm na Msigwa juu ya ulipaji fain hapo kisutu.Nadhani kitendawili cha Tanzania nzima kitateguliwa na hao wanafunzi!
Sidhani kama Mbowe anaweza kufanya ujinga wa kuchoma shule ya waislamu
Bila shaka mtarimbo wa Mbowe umekuganda unafurukuta kuuchomoa ila unagoma kuchomoka ndiyomaana kila thread lazima umlilie Mbowe.Mwenyekiti wa saccos, safari hii umedakwa kila kona. Wanafunzi lazima wakutaje tu, maana najua mtu Mzalendo na mwadilifu hawezi fanya upuuzi huo.
Itakuwa hoja ya kimbwiga sana!Je hudhani Sabaya anaweza fikiria kujenga hoja kama hiyo?
Kwa nini anaanza na kusema wataje waliowatuma? Wanafunzi wako shuleni hivyo chanzo ni lazima kiwe ni shuleni mara nyingi ugomvi na uongozi wa shule n.k.Mkuu wa wilaya ya Hai mh Ole sabaya amempongeza OCD wake kwa kuweza kuwabaini wanafunzi watatu waliochoma shule wakati wenzao wakiwa msikitini.
Ole sabaya amemtaka OCD awahoji watuhumiwa hao ambao ni watoto kwa " kuwabembeleza" ili waweze kuwataja watu walio nyuma ya hujuma hiyo ya kuchoma shule ya waislamu likiwa ni tukio la kwanza wilayani Hai.
Source ITV habari
My take; Isijekuwa ni hujuma za kisiasa!
Maendeleo hayana vyama.
Ngoja uchunguzi wa kina ukamilike bwashee!Kwa nini anaanza na kusema wataje waliowatuma? Wanafunzi wako shuleni hivyo chanzo ni lazima kiwe ni shuleni mara nyingi ugomvi na uongozi wa shule n.k.