johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,904
- 141,856
Mkuu wa wilaya ya Hai mh Ole sabaya amempongeza OCD wake kwa kuweza kuwabaini wanafunzi watatu waliochoma shule wakati wenzao wakiwa msikitini.
Ole sabaya amemtaka OCD awahoji watuhumiwa hao ambao ni watoto kwa " kuwabembeleza" ili waweze kuwataja watu walio nyuma ya hujuma hiyo ya kuchoma shule ya waislamu likiwa ni tukio la kwanza wilayani Hai.
Chanzo: ITV habari
My take; Isijekuwa ni hujuma za kisiasa!
Maendeleo hayana vyama.