Safi sana wananchi , Usaliti ni laana .Katika hali ya kushangaza Ole Millya azomewa msibani.Hili limetokea baada ya kupewa nafasi ya kutoa salamu na kuingiza masuala ya CCM ndipo waombolezaji walipomtolea uvivu na kuanza kumzoea kwa nguvu
taarifa zaidi zinadokeza kwamba baada ya kuzomewa alikimbiaSafi sana!
NA WEWE SI ULETE EVIDENCE IKIONYESHA KUWA HAJAZOWEWA ILI KUMUUMBUA HUYUEvidence hizi habari za kukaa ndani ya shuka na kuanza kujitungia tu ili upate kusoma comment za watu siku iende
Sent using Jamii Forums mobile app
Jaribu kutumia akili kidogo. ....yeye ndo alileta habari hapa bila ushaidi wowoteNA WEWE SI ULETE EVIDENCE IKIONYESHA KUWA HAJAZOWEWA ILI KUMUUMBUA HUYU
Katika hali ya kushangaza Ole Millya azomewa msibani.Hili limetokea baada ya kupewa nafasi ya kutoa salamu na kuingiza masuala ya CCM ndipo waombolezaji walipomtolea uvivu na kuanza kumzoea kwa nguvu
Habari yenyewe imekaa kiudaku daku tu.Katika hali ya kushangaza Ole Millya azomewa msibani.Hili limetokea baada ya kupewa nafasi ya kutoa salamu na kuingiza masuala ya CCM ndipo waombolezaji walipomtolea uvivu na kuanza kumzoea kwa nguvu
na wewe ukaleta habari kuwa kaandika akiwa ndani ya shuka, ndio maana na wewe nakuambia leta ushahidi wa kuwa huyu kaandika akiwa ndani ya shuka na milya hakuzomewaJaribu kutumia akili kidogo. ....yeye ndo alileta habari hapa bila ushaidi wowote
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu uminvunja mbavu zangu 😀 😀Ushahidi huu hapa: Oooooooo, Oooooooo, Oooooooo, Oooooooo, Oooooooo, Oooooooo,
Sent using Jamii Forums mobile app