Mkeka unaendeleaje uko mkuu?Nimebet nimemuua man,Leo anapigwa
Mkuu unaksea mimi sioni kosa la Ole hata kidogo na katika makocha wote waliokuja UTD baada ya Ferg Ole gunna ndio ameonesha anaweza phylosophy ya man U.This man is boaring he brings jokes all the time
Every times comes with an excuse
I have watching Epl for more than 19 years sijawahi kuona kocha mpumbavu kama Huyu
He doesn't have gentleman talk anatoa excuse za kike tu
Mara tupo kwenye mpito
Mara tunatengeneza wachezaji wenye moyo wa Manchester
Yaani anaongea kama Hawa makocha wa ligi yetu ya Tanzania poor in everything
Before nilikuwa nawaheshimu sana wazungu kama watu smart. Lkn kupitia Ole nimejua kuna wazungu washenzi mno
Nimekuwa nikisikiliza interview za makocha wengi EPL. Coaches always hit the point, ila huyu bwege anaropoka ropoka tu kwenye interview
Atasema January tunasajili forward ikifika January atasema we want to give chance young players you can see this cowards
Na amewawezea kweli waingereza anaongea siasa na bla bla tupu na kupanga waingereza kwenye timu as an excuse kuendeleza vipaji
Manchester united ina kaa daraja moja na Barcelona. Real Madrid.bayern Munich, AC Milan, Ajax, liverpool nk
Lkn Manchester sasa inaendeshwa km mid table team no future at all
Ole gunner alishusha Cardiff city daraja kwa aibu akakimbia uingereza akaenda kwao baadae likarudishwa Manchester kwa njia ya rushwa anaiua timu mashabiki wanamkenuliA tu
Kocha mjinga huyu
Hajui kuinua vipaji vya wachezaji
Hajui mbinu nyingine ya ushindi zaudi ya counter attack
Viwango vya wachezaji vinashuka kila uchao?
Martial anacheza kama mjamzito kocha linaangalia tu
James abakimbia bila malengo km alivyikuwa walcot kocha lipo tu
Rashford akipokonywa mpira anashika kiuno kocha lipo tu
Kule nyuma goigoi Maguire ,lindolf ,bissaka,shaw wanakaba kwa macho kocha lipo tu
Kina Fred na perriera wanapasia adui mpira kocha anabungaa tu
Wachezaji viwango vinaporomoka kocha yupo tu
This man is shit, no more excuse again
Halafu liongo mbaya sana sijui mzungu gani huyu mnafiki hivi
Timu km Manchester united haitakiwi struggle kucheza uefa ila chini ya ole we finished kwa kweli
I hate Manchester united board but mostly I hate ole
Bad enough I hate myself being Manchester united supporter
Nimegundua mashabiki wa mid table team hawana stress ase
Nilikuwa na opition ya kuwa shabiki wa Birmingham city ila nikaopt Manchester united
Any way I hate , I hate
Lini tutaanza kushinda makombe tena?
Nyie ndio wale mnaoangalia mpira kwa maneno. Kitu ambacho nmekuwa nkiwaambia watu wengi kwenye vibanda umiza hasa wale wenzangu wenye kubet ni kuwa usije thubutu kuuwa man u ya Ole kwenye game kubwa huwa hawafungwi kirahisi na timu ikijitahidi sana kwa man u itaishia droo, rejea mechi zote kubwa tangu Solskjaer awe kocha.Man u ya sasa haiwezi kumfunga spurs, labda kwa wakat mwingine
Man u mnaenda kula kipigo kwa spurs
Man city anakuja kuwanyoosha vzur, nadhan mpaka hapo ole atakuwa amefikisha asilimia 90 za kufukuzwa
Umeona juzi kutokuwepo kwake kumeikoa timuKwani Martial kafanya nini ?