olduvai gorge inapatikana jijini arusha afadhari makosa ya zamani kuliko hili lako.
Aisee kumbe ni oldupai.sasa hilo george ni la nani?
Nalog off
linapatikana wapi ndugu yangu hebu nirekebishe basi?
Ungesema Mkoani Arusha na sio jijini.
Ndio KODO.
Nimejiuliza kuhusu makosa ya wageni kutumika katika baadhi ya vivutio vyetu,kwa mfano.
OLDUPAI kuwa OLDUVA.
ELMANYARAI kuwa MANYARA.
Pia kwa ambao hawajatembelea eneo la OLDUVAI ni vyema wafanye hivyo kwani kuna mengi mazuri ya kujifunza kama safari ya yule mtaalamu wa kichina alofika olduvai kwa baiskeli.
Pamoja na hayo bado tunaviheshimu na kupeta rasilimali zetu,ni wakati wetu kuzilinda kadri inavyowezekana.
Kodo hujambo ndugu yangu olduvai gorge inapatikana wilayani ngorongoro pamoja na kuwa jiji la arusha liko mkoani Arusha kama ngorongoro, lkn huwezi sema kuwa bonde hilo liko jijini Arusha.nakutakia siku njema.linapatikana wapi ndugu yangu hebu nirekebishe basi?
Kodo hujambo ndugu yangu olduvai gorge inapatikana wilayani ngorongoro pamoja na kuwa jiji la arusha liko mkoani Arusha kama ngorongoro, lkn huwezi sema kuwa bonde hilo liko jijini Arusha.nakutakia siku njema.
Kodo hujambo ndugu yangu olduvai gorge inapatikana wilayani ngorongoro pamoja na kuwa jiji la arusha liko mkoani Arusha kama ngorongoro, lkn huwezi sema kuwa bonde hilo liko jijini Arusha.nakutakia siku njema.
Mkuu kwanini si jijini Arusha??
si george ni gorge likimaanisha bonde refu lenye kina kipana