majebsmafuru
JF-Expert Member
- May 1, 2017
- 463
- 649
Hili nalo neno mkuuMimi Nina swali moja.
Wakati waafrika walipokuwa manyani
Wazungu wao walikuwa akina nani?watu kamili au na wao walikuwa ni manyani?
na kwanini waseme binadamu Wa kwanza alikuwa nyani.je huyo nyani Wa kwa kwanza ndo Alikuwa Adam?
Sitaki kuamini, nataka kujua.Tanzania tuna michoro Iringa na kwa Warangi, tuna Olduvai Gorge, yenye kila aina ya vivutio na historia ya kudhihirisha binadamu walikuwa jamii ya nyani au sokwe, ndipo wakaanza kutembea, kupoteza manyoya, kuabadilika "features", ubongo kukuwa, kupata maendeleo na nakadhalika.
Tatizo wazungu hasa wanasayansi ndio wanasema hivi, wanadai mpaka vithibiti vipo kwamba tulikuwa wanyama na kubadilika kuwa binadamu.
Tanzania nasi twajitahidi kutunza hivi vivutio vya kitalii na kisayansi kama Wamisri...
Upande mwingine tena Mwarabu na Mzungu wanadai Mwenyezi Mungu aliumba dunia siku 7! Wote tumesoma maandiko haya kwenye Agano la Kale na kwamba akaumba binadamu wawili Adam na Eve..
Sisi Watanzania hasa, kipi cha kuamini kati ya haya tulioletewa, kwamba tulikuwa nyani au tuliumbwa?!
Ila yote naona twafaidika nayo, ila kama hili Taifa lina waumini wa Kiislamu na Kikristo kweli kuna haja na kuwa na hivi vivutio?! Hamuoni kama twajichanganya imani zetu au imani tulizoletewa na wenyewe?!
Je wakija tena na lingine hawa Wazungu au Waarabu je tutatupa haya madini yao na vivutio, kuanza kuamini mapya sababu wamesema wao?!
Na kama tunaamini hayo yote basi tukubaliane na zile thread humu kwamba Mzungu na Mwarabu wana akili kuliko sisi, wasemacho ndicho tunachoamini, abudu, ndio maisha yetu!
AU?!
Mimi Nina swali moja.
Wakati waafrika walipokuwa manyani
Wazungu wao walikuwa akina nani?watu kamili au na wao walikuwa ni manyani?
na kwanini waseme binadamu Wa kwanza alikuwa nyani.je huyo nyani Wa kwa kwanza ndo Alikuwa Adam?
Kumbuka sisi na wazungu hatuna tofauti kimaumbile.Wao wazungu wakati huo walikuwa Orungutan
Orangutan - Wikipedia
Orungutan nao ni manyani sema wana wajihi wa kizunguKumbuka sisi na wazungu hatuna tofauti kimaumbile.
Ukisema binadamu Wa kwanza alikuwa nyani.bas wazungu nao walikuwa nyani
Kwa mfano angalia kwenye Quran.binadamu Wa kwanza anaonekana ni Adam.tena anaonekana akiwa na akili timamu.akapewa mpaka na mke ambaye ni HAWA.Wao wazungu wakati huo walikuwa Orungutan
Orangutan - Wikipedia
Mbona nyani wa sasa hivi hawabadiliki kuwa binadamu? Evolution imeishia wapi na kwa nini?Orungutan nao ni manyani sema wana wajihi wa kizungu
Sawa.soma Quran ilivyofundisha.hakuna iliposema Adam alikuwa ni sokwe.Bali alikuwa ni Adam kamili.aliyezaa watoto wake Wa kwanza Cain na habil mpaka mmoja akamuua mwenzie.hii inaonyesha dhahiri hawakuwa masokwe.na wala hawakuishi Tanzania.Orungutan nao ni manyani sema wana wajihi wa kizungu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Wao wazungu wakati huo walikuwa Orungutan
Orangutan - Wikipedia
Hujaelewa maelezo, mtoa mada amesema binadamu wa keanza alikua na ASILI/Ufanano na manyani na masokwe sionkwamba alikua sowe wala nyani.Kwa maana nyingine ni kwamba we were cousin of...Mimi Nina swali moja.
Wakati waafrika walipokuwa manyani
Wazungu wao walikuwa akina nani?watu kamili au na wao walikuwa ni manyani?
na kwanini waseme binadamu Wa kwanza alikuwa nyani.je huyo nyani Wa kwa kwanza ndo Alikuwa Adam?
Waafrica tulikuwa apes wazungu walikuwa orangutanMimi Nina swali moja.
Wakati waafrika walipokuwa manyani
Wazungu wao walikuwa akina nani?watu kamili au na wao walikuwa ni manyani?
na kwanini waseme binadamu Wa kwanza alikuwa nyani.je huyo nyani Wa kwa kwanza ndo Alikuwa Adam?
Carter badiliko huwezi liona kwa macho ukiwa hai.Mfano babu ya babu ya babu yako hajawahi muona si ajabu alikuwa giant na alikuwa na mataya makubwa kuliko yako lakini wewe hujui maana hujaonaMbona nyani wa sasa hivi hawabadiliki kuwa binadamu? Evolution imeishia wapi na kwa nini?
Ndiyo hao babu zake Trump[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Kwa hyo hao ndo walikuwa mababu zake Donald trump.
Sidhani kama kuna Mzungu anayeweza kulikubali hill jambo.
Nani alimuona!?Hujaelewa maelezo, mtoa mada amesema binadamu wa keanza alikua na ASILI/Ufanano na manyani na masokwe sionkwamba alikua sowe wala nyani.Kwa maana nyingine ni kwamba we were cousin of...
Lakini wote masokwe?Waafrica tulikuwa apes wazungu walikuwa orangutan
Hadithi za kusadikika. Evolution. Kwenye hivi vitabu hakuna Scientific proof kuwa hawa watu wawili walikuwepo. Ni hadithi za kukufanya ujione wewe tofauti na viumbe wengine. Je, mbona kwenye biblia au kurani hakua panapotaja Dinosaur wakati tuna vizibiti kuwa walikuwepo millions of years kabla ya binadamu. Mamba, chura na samaki wana umri kabla ya binadamu.Kwa mfano angalia kwenye Quran.binadamu Wa kwanza anaonekana ni Adam.tena anaonekana akiwa na akili timamu.akapewa mpaka na mke ambaye ni HAWA.