Its is Tanzania currency
1. Shilingi 5 of 1978 (Mbele ina Mwalimu Nyerere na reverse ina trekta) ni ya SILVER.
2. Noti ya Shilingi 100( Ina picha ya Masai ameshika mkuki, redio, ng'ombe na mbele ina picha ya Mwl. Nyerere).
Nipo Iringa, Ni inbox kwa maelezo zaidi.
Nikishanunua nazifanyia nini?Its is Tanzania currency
1. Shilingi 5 of 1978 (Mbele ina Mwalimu Nyerere na reverse ina trekta) ni ya SILVER.
2. Noti ya Shilingi 100( Ina picha ya Masai ameshika mkuki, redio, ng'ombe na mbele ina picha ya Mwl. Nyerere).
Nipo Iringa, Ni inbox kwa maelezo zaidi.
Nikishanunua nazifanyia nini?
Kwani zinaumuimu gani izo
Weka bei.
Wewe ni tapeli ,kuna uzi humu kuna mtu anajifanya anazihitaji.mimi nafikiri ni huyuhuyu mmoja .kajifanya anazihitaji then kaitumia id nyingine kujifanya anauza utapeli wa kizamani hamumpati mtu,

Kama unazo kwel nibeep....0718505991Its is Tanzania currency
1. Shilingi 5 of 1978 (Mbele ina Mwalimu Nyerere na reverse ina trekta) ni ya SILVER.
2. Noti ya Shilingi 100( Ina picha ya Masai ameshika mkuki, redio, ng'ombe na mbele ina picha ya Mwl. Nyerere).
Nipo Iringa, Ni inbox kwa maelezo zaidi.
Wewe ni tapeli ,kuna uzi humu kuna mtu anajifanya anazihitaji.mimi nafikiri ni huyuhuyu mmoja .kajifanya anazihitaji then kaitumia id nyingine kujifanya anauza utapeli wa kizamani hamumpati mtu,
Bado unazihitajiKama unazo kwel nibeep....0718505991
Bado unazihitajiHa ha ha unanifurahisha ndugu, usijali kama umejua tapeli ni vizuri pia, hili ni soko huria ukiona biashara ya ain fulan huijui wakaa kimya.
Poa nitumie hizo Pichami ninazo but niko mbeya zipo nyingi ntatuma picha sooon
Ni mimi ndio nilianzisha thread ya kuhitaji currency ziliondolewa kwenye mzunguko, not affiliated to huyu mdau anaeuza hizo alizotaja,na bado nina uhitaji...kama unaona ni utapeli basi jiepushe nao tu kwa kuendelea kubaki nazo au kuufahamisha umma mawazo yako hasiWewe ni tapeli ,kuna uzi humu kuna mtu anajifanya anazihitaji.mimi nafikiri ni huyuhuyu mmoja .kajifanya anazihitaji then kaitumia id nyingine kujifanya anauza utapeli wa kizamani hamumpati mtu,