Old Soviet Missile Destroys US M1 Abrams Tank (VIDEO)


Ndugu yangu ujuzi hauzeeki. Jitahidi kadri uwezavyo kujiongezea ujuzi hata kama hauna manufaa leo utakusaidia baadae.
 
jmn hy abraham tank ni old,US nw ana new modernized abraham tank ambayo ina ant-tank missiles
 
nitajie ni taifa gani duniani ambalo alijawai kununua sirah za mrusi.kama lipo natembea uchi kuanzia posta hadi ubungo
 
hakun taifa la kukolom mbele ya warusi.waisrael waliambiw wanapew masaa 3 tu wawaachie wanajesh wote wa misri waliowazunguk la sivyo jamaa waingie mzigoni,kiongoz wa marekan akawai halak san kumwambia israel kuw awa jamaa watasababish dunia iwe mwisho maan kichapo kitakuw sio tu kw israel bali mataif yote yaliyoshilikian na israel.kilichofat wanajesh wote wa misr waliondok huk wanadundik
 

mkuu Russia na America ndio super power wa dunia hii
Tukianzia na Tanzania kwenye mgodi wa uranium kampuni za russia na america zina maslahi ya moja kwa moja ,vilevile gesi ya mtwara kuna kampuni ya america pale,hivyo zinachangia kodi tanzania.
kimataifa;russia na america ndio wazalishaji wakubwa wa mafuta duniani kwa sasa.
gas
1.USA
2.Russia

oil
1.USA
2.Saudi Arabia
3.Russia

Russia na America wakipigana kwa kutumia biashara ya mafuta na gesi lazima bei ya gesi na mafuta ktk soko la dunia ipande au kushuka hivyo uchumi wa dunia unayumba.
Russia na America wakipigana kwa nuklia dunia itaharibika vibaya kama sio kuteketea yote.
Russia ina vichwa vya nuklia 7500,America ina 7100
 
Ndugu yangu ujuzi hauzeeki. Jitahidi kadri uwezavyo kujiongezea ujuzi hata kama hauna manufaa leo utakusaidia baadae.

Asante mkuu kwa kunikumbusha. Nadhani nilikuwa nalijua hili lakini si vibaya kukumbushana.
 


Asante mkuu kwa takwimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…