Kitimbwisi
Senior Member
- Feb 5, 2013
- 155
- 72
Wadau nina shida na nyimbo za bendi ilikua ikijulikana kama Mchinga sound,
Pia na nyimbo za TOT plus , Mwenye nazo tafadhari.
Natanguliza shukrani za dhati.
Pia na nyimbo za TOT plus , Mwenye nazo tafadhari.
Natanguliza shukrani za dhati.