Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,459
- 872,116
Last edited by a moderator:
Aaaahh mshana jr umenikumbusha mbali sana aisee. Nakumbuka enzi hizo tulikuwa tunacheza ile rede ya kujaza mchanga kwenye kopo aisee ilikuwa burudani si kidogo. Wakati wa kucheza unarelax kabisa...shughuli ikifika jioni. Ukijiangalia kuanzia kichwani fulu michanga yamebaki macho tu ndo yanaonekana.....unachezea kichapo na kesho unaenda tenaa...utoto rahaa
kaka mshana jr umekumbuka Enzi zako nini?
MziziMkavu if only I could turn back the time...!!!kaka mshana jr umekumbuka Enzi zako nini?
Wakati wako umeshapita kaka mshana jr waachie wajukuu zako tena.MziziMkavu if only I could turn back the time...!!!
Hapa ulikuwa upo na mchumba wako nini kaka mshana jr
Hapa ulikuwa upo na mchumba wako nini kaka mshana jr
Kwani umeshakua??Aaaahh mshana jr umenikumbusha mbali sana aisee. Nakumbuka enzi hizo tulikuwa tunacheza ile rede ya kujaza mchanga kwenye kopo aisee ilikuwa burudani si kidogo. Wakati wa kucheza unarelax kabisa...shughuli ikifika jioni. Ukijiangalia kuanzia kichwani fulu michanga yamebaki macho tu ndo yanaonekana.....unachezea kichapo na kesho unaenda tenaa...utoto rahaa
Kwani umeshakua??
Kama kweli vile
kipindi hiyo anaepiga madochi anatolewa nje asifumue mpira.