OLASITI and SOWETO bomb blasts

OLASITI and SOWETO bomb blasts

Kama Polisi wa Arusha wangekuwa na akili wangemwachia Ambrose kwani Mungu ameamua kuonyesha mhusika wa bomu la olasiti siyo yeye bali alikuwa mtaani na akatumiwa tena kurusha Soweto.
 
[h=5]Mbaya zaidi wataalamu wanasema ata mabomu husika yanafanana![/h]
 
TISS wako kwa manufaa ya CCM siyo ya Taifa. Kuna siku watu watafanya kweli kwenye mikutano ya CCM alafu tuone kama TISS watafanya kazi au la
 
wenyewe ndo wanahusika sasa wayashikanaje mkuu...
 
Hiki chama kiko nyuma ya matukio haya..
TISS wako kwa manufaa ya CCM siyo ya Taifa. Kuna siku watu watafanya kweli kwenye mikutano ya CCM alafu tuone kama TISS watafanya kazi au la
 
SANZjr vp mkuu..
Hujui ccm ni janga.. Wameshafanya matukio mengi ya kinyama, kanisani, kule znz.. Na sasa a town..
 
Last edited by a moderator:
it will be better if we ask the Arusha police about this, why did they shoot the woman who did identify the one who throw the bomb? and why did they take him with them if they know nothing about what going on.
 
TISS wako kwa manufaa ya
CCM siyo ya Taifa. Kuna siku watu watafanya kweli kwenye mikutano ya CCM
alafu tuone kama TISS watafanya kazi au la

nyie wazembe kweli. yaani kujilipua mjilipue wenyewe mhangaishe vyombo vya dola? shame on you
 
nyie wazembe kweli. yaani kujilipua mjilipue wenyewe mhangaishe vyombo vya dola? shame on you

Hakuna marefu yasiyo na ncha , na hizo taarifa zinazofichwa itafikia kipindi zitawekwa wazi. Kuanzia yaliyofanyika Zanzibar, Morogoro, arusha na kwingineko na hapo ndo kutakuwa na kilio na kusaga meno Kumbuka muosha huoshwa pia we endelea kutamba ipo siku na haiko mbali, hata mimi mkinitanguliza na wewe utakuja tu, Huna ujanja. CCM is now in the grave. Propoganda uchwara kama hizi na mwenzio Nape haziwasadii , there are sending you deeper in the grave. Poor CCM.....
 
Back
Top Bottom