Okwi asaini Yanga

Okwi asaini Yanga

Fidel80

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2008
Posts
21,945
Reaction score
4,499
Kuonyesha kuwa tupo makini na safu ya benchi la ufundi ikifanya kazi kwa umakini zaidi tumeamua kumsainisha Emanuel Okwi aliye maliza mkataba na timu yake ya zamani ya Simba Ta.04/07/2012 hivyo wakereketwa wa Yanga tarajiaeni kumwona Okwi Kagame Cup ndani ya uzi wa njano na kijani na hajaenda South Africa wala Italy ilikuwa zuga tu.
 
Kampeni za uchaguzi hizo! Nasubiri baada ya tarehe 15 July kuona ukweli halisi.
 
Asalaam aleikhum!!..........hii kitu itakuwa iliwachanganya sana watani

simba-vs-yanga.jpg
 
kaka skujua na wewe ni 'kamati ya ufundi' naanza kukuogopa kuanzia dk hii.
 
mtahangaika sana mwaka huuu..sajilini hata kocha wa simba mkitaka
 
Kuonyesha kuwa tupo makini na safu ya benchi la ufundi ikifanya kazi kwa umakini zaidi tumeamua kumsainisha Emanuel Okwi aliye maliza mkataba na timu yake ya zamani ya Simba Ta.04/07/2012 hivyo wakereketwa wa Yanga tarajiaeni kumwona Okwi Kagame Cup ndani ya uzi wa njano na kijani na hajaenda South Africa wala Italy ilikuwa zuga tu.

Hii ndiyo inaitwa Bongo fitna! Kama kweli wataumia. Hata kama si kweli muda huu wanaumia sana. Ndiyo madhara ya fitna. Inaumiza sana.
 
Very myopic..yaani nyie mnajiona wajanja kuiba wachezaji Simba..mpaka Simba wawaone ndio nyie muwaibe..siwalaumu maaana hamnaga uwezo wa kutafuta wachezaji wazuri uwezo wenu umeishi kwa kina mwape na Asamoah..Simba itaendelea kusajili majembe na kuyatumia na nyie mtaendelea kula makombo yetu miaka kibao..Haha..
 
Jamani manji akiwa rais yanga ndo kwishenehi,atnunua club na wanachama wote. misaada anayotoa si bure ana lake jambo jaman
 
Very myopic..yaani nyie mnajiona wajanja kuiba wachezaji Simba..mpaka Simba wawaone ndio nyie muwaibe..siwalaumu maaana hamnaga uwezo wa kutafuta wachezaji wazuri uwezo wenu umeishi kwa kina mwape na Asamoah..Simba itaendelea kusajili majembe na kuyatumia na nyie mtaendelea kula makombo yetu miaka kibao..Haha..

Wewe Unanikumbusha usemi usemao"Dua la kuku halimpati mwewe" na pia usemi wa "Sizitaki mbichi hizi"
 
Kuonyesha kuwa tupo makini na safu ya benchi la ufundi ikifanya kazi kwa umakini zaidi tumeamua kumsainisha Emanuel Okwi aliye maliza mkataba na timu yake ya zamani ya Simba Ta.04/07/2012 hivyo wakereketwa wa Yanga tarajiaeni kumwona Okwi Kagame Cup ndani ya uzi wa njano na kijani na hajaenda South Africa wala Italy ilikuwa zuga tu.
Yanga hata akija Balotelli hamna kitakachopunguza kipigo.

Mke ni Mke tu hata kama ana kitambi.

attachment.php
 
  • Thanks
Reactions: RR
Thibitisha kauli yako mkuu ili uaminike,lakn mwenyewe Yanga damu.
 
Okwi hawezi kwenda South Africa , Italy auwapi huyo ni hapa hapa tu, kwani ni kwamba alivyoendaga kipindi kile kufanya majaribio ktk timu ya Orando Pirates, alipohitajika kwenda kufanyia vipimo okwi alimkimbia Dr. wa ile timu na kuahidi angerudi , kikubwa kinachomsumbua huyu kijana ni kufahamu afya yake ( HIV+) hivyo hawezi kwenda kucheza ktk nchi za wenzetu ambazo zinatekeleza na kutenda ukweli, hivyo mimi nakubaliana na nia yake ya kwenda yanga kwani angekuwa yuko safi asingeweza kuendelea kuwepo hii bongo timu nyingi zilishawahi kumhitaji Emmanuel Okwi, lakini hilo ndo tatizo alilonalo na huwa hataki kujiweka wazi.
 
...hahahahahahaha...mpango uko hivi Okwi anaaga amepata timu nje..kisha simba itamuachia...ataondoka ..kisha baada ya muda anarudi na kujiunga na Yanga...

source:ndani ya kamati ya Usajiri
 
Okwi hawezi kwenda South Africa , Italy auwapi huyo ni hapa hapa tu, kwani ni kwamba alivyoendaga kipindi kile kufanya majaribio ktk timu ya Orando Pirates, alipohitajika kwenda kufanyia vipimo okwi alimkimbia Dr. wa ile timu na kuahidi angerudi , kikubwa kinachomsumbua huyu kijana ni kufahamu afya yake ( HIV ) hivyo hawezi kwenda kucheza ktk nchi za wenzetu ambazo zinatekeleza na kutenda ukweli, hivyo mimi nakubaliana na nia yake ya kwenda yanga kwani angekuwa yuko safi asingeweza kuendelea kuwepo hii bongo timu nyingi zilishawahi kumhitaji Emmanuel Okwi, lakini hilo ndo tatizo alilonalo na huwa hataki kujiweka wazi.
Huo muda unaotumia kutapika ujinga wako ni bora ukautumia kujifunza kiswahili...what is 'alivyoendaga'?Idiot!
 
Back
Top Bottom