Okwi aibwaga Yanga

Huyo manji anatamba kwa sababu ya pesa tu,ila kichwani mbmbumbu. Ila sishangai Yanga sijawahi ona mtu makini
 
Yanga walikurupuka kwa okwi,mchezo waliotaka kufanya ulikua mzuri kumtema mwsho wa dirisha bahati mbaya likasogezwa mbele,good for simba.
Lile domo chafu la kihindi koko litaweka wapi sura yake.....
 
Huyo manji anatamba kwa sababu ya pesa tu,ila kichwani mbmbumbu. Ila sishangai Yanga sijawahi ona mtu makini
Atoke wapi, labda Mzee Akilimali kidogo anajitahidi ingawa hana hata Level ya QT. Mzee aliwahi kumkataa Yusuph Manji kwamba anaipekeleka timu kidikteta, akasema iko siku atakuja ipeleka timu kubaya. Kila mtu anamuogopa akiamua lake hakuna mktu wa kumshauri wala kumpinga.... Matokeo yake Manji alimpinga Akilimali na kumfunga mdomo asiongee chochote kuhusu Yanga na mzee wa watu amejipumzikia anaangalia hatima yao tu.

Haya sasa tunaanza kuyaona, mikataba ya kukurupuka kumchukua Okwi ili kuikomoa Simba SC matokeo yake tunaanza kuyaona.

Ngoja wachapwe na Simba SC mabao 6-0 mwaka huu ndiyo watachapana bakora vizuri......
 
Safi sana! Poleni watani!
Mchezaji hamumtaki, rufaa ya nini sasa??

na kwambia kwa msimu huu lazima Manji ang'atuke: OKWI tulia ufanye kazi yako, walikutamani kwa kutaka kuikomoa Simba, imewatokea puani .
Mtoto karudi nyumbani jirani anatoka mapovu. Wajiandae kuja kwa wingi kuzomea sana mwaka huu wakati Simba SC itakapokuwa unatoa dozi kubwa kubwa kama ya GorMahia.....
 
Emmanuel Okwi leo ameruhusiwa kuchezea Simba bila ya kulipa chochote baada ya kikao cha kamati ya sheria na haki za wachezaji kubaini kwamba hakua na mkataba na Yanga tokea January 2014.
Wasema hovyo wa Yanga leo wako wapi? Au bado wanaugulia kwa kilio cha kwikwi. Hahahhaaaaaaaaaaaaa......na mwaka huu Maximo kaja na nuksi ya kwao wajiandae vipigo kama vile walivyopata Brazil Kombe la Dunia
 

cc: Jamal Malinzi
 
Tff walipoona okwi anawaonggelea kizunggu,nao hawajui kizungu,wakaona bora yesheeee...wakam favour!?!!
Hahahahahahaaaaaaaaaaa...hiyo ndiyo faida ya kuingiza wastaafu wengi wa Jeshi la Polisi kwenye Kamati za TFF. Wakisikia kizungu tu wanajifanya wako bize na WHATSUP za simu zao hata kama ni Nokia Tochi.
Teteheteheteheteheteheteeeeee....
 
Ni vyema tu ikaeleweka kwamba maamuzi haya siyo ya mwisho hata hapahapa Tz. Kuna mamlaka zaidi za maamuzi juu ya swala hili. Binafsi ninasubiri litavyoishia, sio lilivyoanzia.

Munataka kukata rufaa tena? Hivi hizo hela kwa nini musipeleke kuke Dogo dogo centre kwa wahitaji watoto yatima? Munashupalia kitu ambacho hamukihitaji ili iweje?
Kwa nini hela hizo musiongeze marupurupu ya wachezaji wenu?
 
Chezea friends of simba....wanafanya Mambo ya uhakika....bravo Aveva na your team

Na bado kilio zaidi kitaendelea Jangwani, mengi yanakuja wadau kaeni mkao wa kula.....
 
Ni vyema tu ikaeleweka kwamba maamuzi haya siyo ya mwisho hata hapahapa Tz. Kuna mamlaka zaidi za maamuzi juu ya swala hili. Binafsi ninasubiri litavyoishia, sio lilivyoanzia.
Tokea kuumbwa kwa ulimwengu mpaka sasa Fisi anaendelea kusubiri mkono wa binadamu uanguke...
 
Mkuu nadhani hata huko CAF, FIFA au CAS, Okwi ataibuka kidedea. Ukiniuliza kwanini? Sina Jibu, ila kwa sasa lets have a Cheers.
Mkuu ngoja namimi nichukue glass ya Mvinyo maana ya kwanza imeshavunjika kwa cheers ya wadau leo....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…