Oktoba tunatiki!!

Kauli yako imenikumbusha kutiki maneno ya Paulo katika 2 Kor 5:13
Maana ikiwa tumerukwa na akili zetu, ni kwa ajili ya Mungu; au ikiwa tunazo akili zetu timamu, ni kwa ajili yenu.
Unachokiandika inaonekana una tatizo pahala halafu tunakushauri unatuona hatujui kitu, kuna member mwingine alikuja na kujifanya ni Rais wa baadae, simuoni siku hizi hata wewe upweke ndio unakufanya uonekane na tabia ambazo huziangalii kwa namna nyingine 😂
 
Nashauri watu wajitafutie maarifa wao wenyewe binafsi, usisubiri utafutiwe ndio ufuate...dunia ina rangi nyingi, hivyo hakikisha hugeuki kenge...
 
Tatizo lake anatafuta attention zisizo na maana, sifa zimezidi anaharibu sasa
 

wewe ni mtumishi wa Mungu unayebariki uovu, uliye kinyume na haki. Najiuliza ikiwa unamtumikia huyu Mungu wa haki., Mungu wa mbinguni. Andiko la ya mpeni kaisari halihalalishi udhalimu.
 
Ubarikiwe mtumishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…