Kwa kauli yako hiyo natiki maneno ya Mhubiri 7:9Kilichotokea leo ofisi za JF we utakuwa kikosi cha abduli
View attachment 3465958
Asante. Umenikumbusha nitiki maneno ya Paulo katika 1 Tim 2:1-4
Kutiki nini?kutiki
Kura ni siri
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kubaaabeki kumbe we ni kichawa
Roho ya Lucas Mwashambwa inatembeaKubaaabeki kumbe we ni kichawa
Kauli yako imenikumbusha kutiki maneno ya Paulo katika 2 Kor 5:13Dada omba Yesu wako akupe na bwana wa kukutoa wenge ulilo nalo haupo sawa.
Nina swali?Kauli yako imenikumbusha kutiki maneno ya Paulo katika 2 Kor 5:13
Maana ikiwa tumerukwa na akili zetu, ni kwa ajili ya Mungu; au ikiwa tunazo akili zetu timamu, ni kwa ajili yenu.✅
Jikite kwenye mambo ya Mungu Achana na mambo ya October, neno la Mungu linatosha yanini kutafuta attentionKama watanikimbia kwa sababu niko upande wa Mungu, hakuna shida, mimi ntaendelea tu kutiki
Yesu Kristo ni Mwokozi wa ulimwengu ✅
Ukakasi unatoka wapi ndugu yangu? Kutiki ni msemo wa siku nyingi tu. Wewe mwaka huu ndio mara yako ya kwanza unasikia kutiki? Hizi ni nyakati za mwisho, Yesu alisema maasi yataongezeka. Hivyo usitarajie dunia itakuwa mbingu. Badala ya kuhuzunishwa na mambo ya ulimwengu huu, jiandae kwa unyakuo.Sijawahi kutumiwa na Ibilisi kuzuia Injili. Kichwa cha habari ulichotumia kina ukakasi ndugu. Hadi hapo bado hujagundua kasoro hiyo? Pamoja na kuhubiri Injili, tumia busara na hekima juu ya maneno unayotumia.
Kumbe wenye kupenda fedha bado mpo. Sasa ninatiki rasmi maneno ya PauloUmepokea kiasi cha shilingi ngapi mkuu