Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 359,882
- 828,458
Daima HIARI YASHINDA UTUMWA...
Chaumma kiliwezeshwa ili kukiuwa CHADEMA kimeangukia pua na sasa kiko njiani kuelekea ICU then mortuary!
Vipi kuhusu 'Oktoba tunatiki (October tuna tick) imeanzishwa baada ya moto wa NO REFORMS NO ELECTION fukuto lake kugusa mfupa.. Muda huu sijui imefia wapi huko
Kilichobaki ni wazalendo wanajiuliza kati ya oktoba tunatiki na chaumma ipi tuzike hapahapa ipi tusafirishe