Okoeni uchumba huu - msaada

Okoeni uchumba huu - msaada

Desidery

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2012
Posts
233
Reaction score
78
Kwanza naomba niwatakie nyote heri ya mwaka mpya..
Tumshukuru sana MUNGU kwa kuuona mwaka huu

Sasa jamani katika likizo hii ya mwisho wa mwaka sikwenda kokote, nilikuwa hapahapa Dar..
ila nilibahatika kutembelewa na ndg na jamaa zangu kiasi cha kutosha ..nashukuru sana..

mmoja kati ya jamaa zangu (Binamu yangu) alikuja na kunitaka ushauri. kwamba afenyeje
maana mchumba wake anayetaka kumuoa maungo yake ni ya baridi. yaani wakati wanashiriki tendo la uchumba, yule dada ni wa baridi kabisa..
kwa kweli kaniomba sana msaada wa kimawazo.. ameshapeleka barua kwao,
anasema wameanza mawasiliano miaka mi3 ilopita, ila tendo wameanza mwaka jana mwezi wa nne..
anasema alishawahi kuwa na dada mwingine wakati yupo Tumaini Unvsty, wakishiriki tendo, dogo alikuwa anaweza kwenda hata round 4-5... lkn kwa huyu akijitahidi ni 2 tu.. yaani bariidiiii.. ingawa anadai mchumba wake hujitahidi kuwajibika kunako 6x6
sasa anajishauri sana..

Naombeni sana busara zenu na ushauri nimshaurije bw. mdogo?
je kuna tiba? au kuna aina za vyakula? na je hili ni tatizo?

Kwangu ni suala gumu kiasi..

ahsanteni
 
Tuokoe kivipi, Ndo mkome testing b4 marriage,,,,AKAMUOE UYO WA TUMAINI
 
Mmmmh! aisee ngoja watalamu waje
 
Ni mawazo tu ya ndoa na sherehe ya harusi hayo ...akili inagoma kutafsiri raha ya tendo kwa ufasaha...Aendelee tu na mipango ya ndoa...
 
hamna mwanamke wa baridi bana... mpashe!!

2Q==
 
Naombeni kuuliza wajameni! Hivi watu wanaoana kwaajili ya sex eeeh!

Ingawa sio kwaajili ya sex tu.. ila sex ina zaidi ya 90% ktk ndoa..
bila sex.. sio ndoa...... sex ikitumika vibaya wote mmekwisha...
 
Mkuu awe anamuweka jikoni kwa dkk kadhaa kabla hajapoa wafanye tendo! Ataenjoy tu!

Ushauri mzuri kwaajili ya jokes..
ila hawa wanataka kwenda kuishi, ni kwaajili ya maisha yao.... wanataka wakaumbe watoto pia
 
Ushauri mzuri kwaajili ya jokes..
ila hawa wanataka kwenda kuishi, ni kwaajili ya maisha yao.... wanataka wakaumbe watoto pia

sasa we unadhani hapo 2mshauri nini? Unadhani unaweza kumkosoa mungu kwa uumbaji wake? Unataka tumshauri amuache huyo msichana atafute mwingne? Au akamuoe huyo aliyemuonja huko chuo? Eboh!
 
mhhh damu yake imeganda huyo....anaishi mikoa gani kwani maana kwamikoa kama dar na joto lote hili ni balaa.ila kama anakaa kwenye mikoa ya balidi ajitahidi kuvaa nguo za joto ili mwili wake utengeneze joto.pia ale vyakula vinavyoongeza joto mwilin kama mfano vyenye mafuta mengi.pia wakiwa wote atumie muda mwing kucheza nae ili akili na mwili vishilikiane ktk kutengeneza joto asilia.mtazamo tuuu..
 
samahani lakini
ila naomba kuuliza
mtu akiwa wa baridi maana yake nini?..akiingiliwa anaemuingilia anahisi baridi kama kaingia frijini ama?
 
sasa we unadhani hapo 2mshauri nini? Unadhani unaweza kumkosoa mungu kwa uumbaji wake? Unataka tumshauri amuache huyo msichana atafute mwingne? Au akamuoe huyo aliyemuonja huko chuo? Eboh!

Munkari Punguza munkari... kuna siku hapa ilitolewa mada .. jamaa alikuwa na tatizo la kutoa mbegu za kiume lainiiii yaani maji kabisa.. akaomba ushauri, ic aliambiwa dawa yake ni kuchemsha nyanyachungu na kuzila kisha mambo yake yatakuwa safi.. niliwauliza wazee wawili waliniambia nikweli.. so niliamini jamaa alipata jibu sahihi.. sasa kama hakuna anaetaka kumkosoa MUNGU .. pale CCBRT wanawanyoosha watoto wanaozaliwa na matege.. makengeza.. midomo ya sungura.. sio wanamkosoa Mungu.. bali ni kuweka ktk hali ya kawaida.. au sio dada yangu Mzuri Munkari.. just ushauri tuu. kama hamna basi, hapana mbaya... kama wakenya wasemavyo.... kama umenielewa nipe LIKE basi
 
jamani heater si zipo 🙄
 
samahani lakini
ila naomba kuuliza
mtu akiwa wa baridi maana yake nini?..akiingiliwa anaemuingilia anahisi baridi kama kaingia frijini ama?

sisi wanaume tunapowaingilia ninyi kuna vitu ambavyo hukutana navyo.. baadhi yenu mnakuwa na maji sana.. wengine mnakuwa mnato sana, wengine maumbile ni motomoto hiyo ndi hufanya baadhi ya wanaume kuwatania ninyi siku za baridi kuwa hali ya hewa inalipa leo.. ni kwaajili ya joto mnalokuwa nalo kuanzia ukeni hadi mwilini.. hapo nasi hupenda tuwakumbatie na aahhh sio mahala pake hapa nadhani umenielewa kiasi... ktk kukumbatiana ndipo mahaba huongezeka zaidi.. sasa tatizo la huyu ni maumbile yake kwa ndani hayana lile joto ambalo ni kawaida kwenu. umenipata?
 
nimepata mwanga kidogo...so anaekua na maji mengi ndo anakua wa baridi si ndio?
sisi wanaume
tunapowaingilia ninyi kuna vitu ambavyo hukutana navyo.. baadhi yenu
mnakuwa na maji sana.. wengine mnakuwa mnato sana, wengine maumbile ni
motomoto hiyo ndi hufanya baadhi ya wanaume kuwatania ninyi siku za
baridi kuwa hali ya hewa inalipa leo.. ni kwaajili ya joto mnalokuwa
nalo kuanzia ukeni hadi mwilini.. hapo nasi hupenda tuwakumbatie na
aahhh sio mahala pake hapa nadhani umenielewa kiasi... ktk kukumbatiana
ndipo mahaba huongezeka zaidi.. sasa tatizo la huyu ni maumbile yake kwa
ndani hayana lile joto ambalo ni kawaida kwenu. umenipata?
 
Mmh! Haya mkuu Desidery nimekupata! Subiri solution!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom