pombe kali
JF-Expert Member
- Jun 28, 2014
- 312
- 614
Amani iwe kwenu,
Nitakuwa na upload free style na Cyphers zote humu ambazo zitakuwa zinatetea maslahi ya nchi (Taifa) ....na kama una free style ama Cyphers ambayo inaweza kuendana na hali ya sasa ya nchi tafadhali I upload humu zote zitasikilizwa kwa ajaili ya matumizi ambayo yatakuwa na manufaa kwa taifa na mtu mmoja mmoja angalizo lugha zisizofaa soyo utamaduni wetu hivyo tusijikite sana humo we mwaga vina tuishi humo inaitwa okoa taifa hiphop movement.
Wanangu wa hiphop zile ngumu twenzao