Okoa picha zangu kwenye camera please!

Okoa picha zangu kwenye camera please!

MAKULUGA

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2011
Posts
8,098
Reaction score
10,944
Wapendwa nilikuwa na picha kwenye Camera ya digital(Sanyo)ilikuwa na picha ambazo ni muhimu sana na zimebeba historia yangu na familia kwa miaka mingi ijayo ni bahati mbaya kuna mtu aliingiza memory kadi yake na yaelekea ilikuwa na virus ....na kusababisha picha zilizokuwa kwenye Camera kufutika ,Naomba msaada wenu kama kuna uwezekano ya kuzirejesha picha hizo!
 
nitafute nitakurudishia picha zako buree kabisa,holla 0713388226
 
Mimi nilifikili zinaungua nilete fire extinguisher
 
Nina ki software kinaweza kukusaidia bure kama uko dar nichek 0713532322
 
Mkuu
usihofu kabisa! Download picture recovery tool then run kwenye kompyuta yako na chukua hiyo memory kadi yako na uingize kwa pc kama ina tundu au tumia card reader then fuata instruction za kurecover hzo picture zako kwa kutumia hiyo software........ Hzo za nipigie mara nn mbwembwe tu na ubinafsi! Ukiweza rudi kwa feedback
 
Back
Top Bottom