Oklahoma City Thunder are the 2025 NBA Champions

Oklahoma City Thunder are the 2025 NBA Champions

Papillon 1906

Senior Member
Joined
Jun 19, 2025
Posts
117
Reaction score
387
Oklahoma city thunder wameshinda ubingwa wa NBA kwa msimu wa 2024/2025 baada ya kuwatandika vikali Indiana pacers kwa vikapu 103-91 katika mechi ya saba wa mfululizo wa fainali hizo.
Oklahoma city thunder ni mabingwa wa NBA kwa mara ya kwanza katika historia ya timu hiyo.

Shai Gilgeous Alexander drops 29 pts, 5 reb and 12 ast. [MVP]

FB_IMG_17506475216480913.jpg
 
Nilikuwa namwambia dogo mmoja hapa OKC wanashinda game hii.

Na kweli. Dogo kakimbia hata hakumaliza game kwa uchungu.
Ila naewelewa kwanini kakimbia, uki acha maumivu ya kufungwa,

Maana huenda ali leta ubishi mkubwa, uka subiri game iishe Ili uka kanyage kudadadeki,

akaona hapa amesha yatimba, na Cha kufia nini 😂😂
 
Ila naewelewa kwanini kakimbia, uki acha maumivu ya kufungwa,

Maana huenda ali leta ubishi mkubwa, uka subiri game iishe Ili uka kanyage kudadadeki,

akaona hapa amesha yatimba, na Cha kufia nini 😂😂
Hamna, mimi hata sina hizo. OKC wenyewe wala si timu yangu, nilitabiri tu.

Dogo ni kawaida yake akiona mechi inaenda kushoto anakimbia 🤣🤣🤣.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom