masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,410
- 14,119
Kwa wanaofahamu utendaji kazi wa engine safi, wanaelewa kuwa huwezi kutumia oili chafu na bado ukapata matokeo mazuri.
UKAWA katika siku za hivi katiribuni waliamua kufanya service ya gari lao lenye engine ya CHADEMA.
Katika hiyo engine mafundi wasio na uzoefu wa utendaji wa gari wakaamua kuchakachua, wakauza oili safi kwa hela ndogo na kuamua kuweka oili chafu toka gari nyingine.
Baada ya kuweka oili chafu tayari filter imeziba!!
Na imeacha kufanya kazi imebidi itolewe!!
Engine imeanza kutoa moshi, na drive shaft ya UKAWA nayo imeanza kugonga, na safari ya matumaini ndo kwanza inaanza.
Gari hii ni lazima ita noki tu kabla ya 25 Oktoba mwaka huu!!
Tatizo ni kwamba gari nyingine bado ndo inafanyiwa service.
Oili chafu nyingi zinazidi kuondolewa na safi kuingizwa.
Wengi wanangojea hii gari ya CCM kuwashwa tu ili waipande.