Oil station

Oil station

anxiety

Senior Member
Joined
Nov 4, 2016
Posts
131
Reaction score
231
Kwa mkazi ambaye Yuko moshi naweza nikapata jina la oil station ambayo Iko lewate Sanya juu wilaya ya siha
 
Ukifika hapo lawate sokoni juu kidogo ya hiyo hump (mmezoea kusema bams)
Mkono wa kushoto kuna petrol station nenda hapo Chapo kuna mrembo mmoja white yupo hapo
Kwa salsa nipo Stockholm Sweden next month nakuja huko tz
 
Hamna kabsa mwanachama anatokea siha district Kuna hela ya soda
 
Bado unahaha kutafuta risit kijana!!
 
Matumizi ya search engine yananiwezesha kuona GATAN PETROL STATION. Anzia hapo
 
Pia kama Kuna mtu wa boma naweza nikamuwezesha naul na muda atakao poteza kwenda kufuatilia
 
Back
Top Bottom