Oh..! my Goodness MWENYEKITI WENU sijui nifurahi au nisikitike.....damn...

shikamoo mwenyekiti alf heri ya cku yako ya kuzaliwa, una bahati sana kuzaliwa cku karibu na EMMANUEL
 
Baba V hongera sana umshukuru Mungu kwa kuwa upo hadi leo. .........................................Ni kama ndoa zimesimama au wameenea?
 
Last edited by a moderator:
from and my wife shansarie...

Happy birthday bro.
Wish you raha na mafanikio zaidi.
 
Last edited by a moderator:
Many Happy returns for the day and the years to come. Nimeguswa na "nashukuru tu kuwa vile viungo visivyo na mifupa kama vile ulimi, macho, maini n.k bado viko imara kama vipya"...Hili lina umuhimu wake, soo umri kusogea isiwe issue kivile:msela:
 
shikamoo mwenyekiti alf heri ya cku yako ya kuzaliwa, una bahati sana kuzaliwa cku karibu na EMMANUEL

Thanks mkuu.. Tatizo akina Emmanuel wa kibongo ni waovu sana, kama huyo aliyejiuzuru juzi, naskia na ile E-mail ya kuua watu ni yake. Dah..
 
Many Happy returns for the day and the years to come. Nimeguswa na "nashukuru tu kuwa vile viungo visivyo na mifupa kama vile ulimi, macho, maini n.k bado viko imara kama vipya"...Hili lina umuhimu wake, soo umri kusogea isiwe issue kivile:msela:

Hahahahahaaa... mkuu ume note eneo muhimu sana hilo... Thanks a lot.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom