Oh..! my Goodness MWENYEKITI WENU sijui nifurahi au nisikitike.....damn...

Baba V

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
19,487
2,000
It's my birthday... yeah it is.. nafurahi kuiona siku ya leo baada ya misukosuko na kukwepa mishale mingi... namshukuru MUNGU kwa hili maana mmmnh...! ila sasa kwa upande wa pili manaake nimeongeza hatua zaidi kuelekea umautini...... dah...!! I hate this fact kwa kweli... na nikicheki kichwa kinazidi kuchukua rangi ya kilele cha mount Kilimanjaro....... matatizo madogomadogo ya kiufundi ya hapa na pale imekuwa ndo kawaida... oooh my God... nashukuru tu kuwa vile viungo visivyo na mifupa kama vile ulimi, macho, maini n.k bado viko imara kama vipya...... ila sasa dah... salaam ya mambo..!? nimeanza kuimiss na mashkamoo yamekuwa meeengi..... utadhani wakiniamkia wananipa na hela.... sio dalili njema kwangu hizi.... God forbid.. HAPPY BIRTHDAY TO ME........!!!!!!
 

Lady doctor

JF-Expert Member
Apr 13, 2013
8,758
0
Shikamoooo baaabuuuuu!!!!!!!
Chezea uzee wewe!!!!!

Happy birthday to you! Uishi miaka mingi ya amani, furaha na upendo na Mungu akujaalie afya njema katika kipindi chote cha uhai wako.

Keki.... keki.... Wapi????
 

Baba V

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
19,487
2,000
Shikamoooo baaabuuuuu!!!!!!!
Chezea uzee wewe!!!!!

Happy birthday to you! Uishi miaka mingi ya amani, furaha na upendo na Mungu akujaalie afya njema katika kipindi chote cha uhai wako.

Keki.... keki.... Wapi????

Mambo Lady doctor...!

Ahsante sana aisee.... yaani natamani kadri miaka inavyoongezeka niwe na reverse age yangu... Keki valentine kanambia ni surprise ati...! si unajua tena wanetu hawa wa touch screen...!
 
Last edited by a moderator:

Lady doctor

JF-Expert Member
Apr 13, 2013
8,758
0
Mambo Lady doctor...!

Ahsante sana aisee.... yaani natamani kadri miaka inavyoongezeka niwe na reverse age yangu... Keki valentine kanambia ni surprise ati...! si unajua tena wanetu hawa wa touch screen...!

acha kuzuga basi, itikia salamu yangu vizuri we mbaba!

Basi itabidi niwe beneti na mwanao ili angalau niweze hata kudokoa
 
Last edited by a moderator:

mwekundu

JF-Expert Member
Mar 4, 2013
21,859
2,000
Happy birthday ...to you lakini unitafutie mwali humu,mwaka unakata sasa sijaona ndani lol
 

Mwanyasi

JF-Expert Member
Nov 16, 2010
7,926
2,000
Happybirthday kamanda uzee huoo! sasa uwe unafanya mazoezi ya kukimbia. mimi huwa nakimbia toka tunduma - mbalizi kila jumamosi.
 

Baba V

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
19,487
2,000
Happy birthday ...to you lakini unitafutie mwali humu,mwaka unakata sasa sijaona ndani lol

Ahsante sana, Humu mwali unamtafuta mwenyewe mie namuidhinisha tu.......... habari ya kutongoza kwa niaba itaniletea matatizo kwa sababu naweza kushawishika nikaenda a step further...... :A S-rap::A S-rap::A S-rap::A S-rap:
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom