Happy birthday Baba V,Mungu akujalie maisha marefu ya Furaha,Amani,Afya njema na Mafanikio tele!
Si utakuja pale pa siku ile tulipokuwa kipindi Arushaone kasafiri..
shikamoo mwenyekiti alf heri ya cku yako ya kuzaliwa, una bahati sana kuzaliwa cku karibu na EMMANUEL
Many Happy returns for the day and the years to come. Nimeguswa na "nashukuru tu kuwa vile viungo visivyo na mifupa kama vile ulimi, macho, maini n.k bado viko imara kama vipya"...Hili lina umuhimu wake, soo umri kusogea isiwe issue kivile:msela: