Maisha haya tumuombe atusamehe tu huyu Muumba wetu,mi leo nimekuta barbecue wacha niifakamie..kuja kushtuka ndio nakumbua ala..lakini kama unakula bila kujua sio dhambi bana...
mmhh unaweza kupumua kwenye ibada ukaharibu hali ya hewa si unajua hii misa ya ijumaa kuu inavyochukua mda mrefu na watu wengi
pasaka nakuja kula pilau na noah kwako
mmhh unaweza kupumua kwenye ibada ukaharibu hali ya hewa si unajua hii misa ya ijumaa kuu inavyochukua mda mrefu na watu wengi
pasaka nakuja kula pilau na noah kwako