Hahahahahahaa......kamanda mkuu danganya toto hiyo! kitu kishaingia mdomoni ukiteme? Labda kama sikujui vizuri
Mamushka una kesi kubwa sana ya kujibu.....Tafuta wakili mapema.:banplease:Faida za kusali dominika kupitia tivii...na leo umeenda kweli?
Unazijua amri za kanisa? Mojawapo ni hudhuria misa takatifu, dominika na sikukuu zilizoamriwa, funga siku ya jumatano ya majivu usile nyama siku ya ijumaa kuu, pokea ekaristi takatifu hasa wakati wa pasaka!
(biggy uliikumbuka sakramenti ya kitubio?)
We kijana, unaniharibia baraka zangu za Christmass ujue:crying:Not sure kama alikumbuka,na kama alikumbuka alishachelewa,au alipofika maeneo ya church akasahau kilichlmpeleka pale akoondoka !!
:amen:haaa we B wewe apo kwen kitubio apo......
:welcome:babu unazeeka vibaya
😛lane:ila samaki na dagaa sio nyama eeh?
Guys...!
Babu hakujua kuwa leo ni Good Friday!.....So he did it by mistake.
Hata hivyo, kwani kongoro ni nyama?......Eti?.....!
Babu anawatakia PASAKA njema!
Babu loves you all.....!
Husninyo muda wa lunch bana, nini...aaggghrrrr!ulivyogundua ingebidi ukatoe haja nzito laini laini ili itoke.
Leo nimebahatika, nimekamata supu ya mkia.
Najua mkia na utumbo si nyama ndio maana haviuzwi buchani.
Nani anabisha?
Kwani Yesu anakufa saa ngapi nawee?
Hi sasa ndo kwanza Yuda katoka kukomba kamshiko.
Leo nimebahatika, nimekamata supu ya mkia.
Najua mkia na utumbo si nyama ndio maana haviuzwi buchani.
Nani anabisha?
Sikula nyama bana........soma vizuri...nlikula kongoro!
Leo nimebahatika, nimekamata supu ya mkia.
Najua mkia na utumbo si nyama ndio maana haviuzwi buchani.
Nani anabisha?
dah mkuu pole sana we umekula nyama bora mimi nimekula maini siyo nyama
Hahahaaaaa
Jitapishe babu
Oh Mama Mia?
Ulikuwa wapi we mrembo. Things are not the same with your absence darling. Usipotee sana mwaya.
Missed and love you too.