OGwhatsapp ndio basi tena?

OGwhatsapp ndio basi tena?

Daah whatsapp plus ina raha yake aiseee, niliionaga inasumbua nikaifuta aisee kuitafuta online ikawa chenga kuiinstal ban ya masaa 24 sasa hivi nimeizoea hii official whatsapp
 
Salaam wakuu...nina hitaji msaada juu ya hiii OGwhatsapp maana kwangu version imekua obsolete na naambiwa nidownload nyingine na kila nikitafta apk ya version mpya napata version iloexpire ndo ya juu....je nifanyeje ili niendelee kupata two WhatsApp kwa device moja????

Msaada please.

Cc: Chief-Mkwawa C6 mwl-rct Bulldog

Sijawahi kuitumia hii kitu
 
Last edited by a moderator:
Natumia OG pia, juzi ime expire na nipo nje ya nchi na natumia namba ya bongo. Sipendi bibadlishe namba ya bongo. Nilichokifanya nimerudisha tarehe ya simu nyuma ili niendelee kuitumia. Kama kuna msaada mwingine itapendeza. Natumia voda na huku hawana roaming
 
Leo nimedownload OGwhatsapp lakini ipo kaktika mfumo ambao wengi hawajaujua na ukimaliza ku install unafungua kuji register wana kwambia expired na baned den wanasema wambie marafiki zako wote duniani ukifungua ndani utaweza kujiregister nenda aptiode then andika ogwhatsapp watataka usearch in other sources search hapo watakuletea ogwhatsapp na chini ake kutakuwa na ogwhatsapp dr cell ya five days ago Ichukue hiyo ndo ogwhatsapp yenyewe kwenye tatizo tuambizane
 
Kaka yaani hio mbona mm nimefanya sana ila ukiinstall tu inakwambia hiii kitu ni obsolete so set date yako vizuri????

Labda niambie baada ya kureset how did you install it.na je ni kwa same no au????
 
Leo nimedownload OGwhatsapp lakini ipo kaktika mfumo ambao wengi hawajaujua na ukimaliza ku install unafungua kuji register wana kwambia expired na baned den wanasema wambie marafiki zako wote duniani ukifungua ndani utaweza kujiregister nenda aptiode then andika ogwhatsapp watataka usearch in other sources search hapo watakuletea ogwhatsapp na chini ake kutakuwa na ogwhatsapp dr cell ya five days ago Ichukue hiyo ndo ogwhatsapp yenyewe kwenye tatizo tuambizane

Hebu funguka poa...ni lazima nianze huko au niende aptoide moja kwa moja????
Na hio ban napigwa mm au OGwhatsapp ndo inakua iko banned???? Maana swala la kula ban tena sitaki aseee...nimekula ban ya siku nkawa ka nimefiwa....news nyingi napata WhatsApp na jf....

So help me with those questions
 
Leo nimedownload OGwhatsapp lakini ipo kaktika mfumo ambao wengi hawajaujua na ukimaliza ku install unafungua kuji register wana kwambia expired na baned den wanasema wambie marafiki zako wote duniani ukifungua ndani utaweza kujiregister nenda aptiode then andika ogwhatsapp watataka usearch in other sources search hapo watakuletea ogwhatsapp na chini ake kutakuwa na ogwhatsapp dr cell ya five days ago Ichukue hiyo ndo ogwhatsapp yenyewe kwenye tatizo tuambizane

Na hio OGwhatsapp uliyodownload hadi ikawa banned uliitoa site gani hio.
 
Naomba Msaada na mimi.

Nilikuwa natumia Whatsapp+. Kuna kipindi walinilima BAN.. Nikaamua kuUninstall...

Ikiwa kila nikiDownload napata version iliyoExpire..

Nimeamua tu nikae kimya nisubirie kudra za mungu tu.
 
Ngoja niwape njia ya kwanza ikishindikana tunaenda ya njia ya pili wadau, tupo hapa kwa ajili ya kuelimishana, kwa wale mnaotumia official sijui mtafanyaje sasa? ila kwa wale mnaitumia whatsapp+ kama mimi cha kufanya badilisha tarehe na mwezi sogeza mbele kisha restart ogwhatsapp na itafanya kazi kama kawaida

Enjoy
 
Wakuu na mimi watsap plus imexpire haitaki tena, imebidi nidownload tu original version lakini siipendi kabisa haina vitu vingi pia inaumiza macho, je wakuu hakuna maujanja yoyote yale ya kuifanya hii watsap original iwe nzuri, na rangi nzuri ikiwemo themes nzuri ili nitumie kwa uzuri? Msaada wakuu natumia Nokia Xl
 
Naomba Msaada na mimi.

Nilikuwa natumia Whatsapp+. Kuna kipindi walinilima BAN.. Nikaamua kuUninstall...

Ikiwa kila nikiDownload napata version iliyoExpire..

Nimeamua tu nikae kimya nisubirie kudra za mungu tu.

Hahahaha wakuu tupeni majibu basi
 
sory wadau hapo juu nilichanganya, kwa wale wa Ogwhatsapp nenda setting kwenye simu yako na badili tarehe weka mwezi wa pili halafu itapiga kazi kama kawaida,
 
Natumia OG pia, juzi ime expire na nipo nje ya nchi na natumia namba ya bongo. Sipendi bibadlishe namba ya bongo. Nilichokifanya nimerudisha tarehe ya simu nyuma ili niendelee kuitumia. Kama kuna msaada mwingine itapendeza. Natumia voda na huku hawana roaming

Asante ntalifanyia kazi
 
Ime-expire leo 7 March 2015.

11043186_380966988751948_7751196212248493998_n.jpg
 
Download telegram ni clone ya whatsapps so iko kama whatsapp most of the features pia hii unatuma normal files kama excel, word etc

Siko interested na Selfies ndomana siezi tumia Whatsapp/Tele kwasabu they much depend on Photos/videos.
By the way we mwenyewe cheki Telegram+ ime kua modded na aliyemodd Whatsapp+ sijajua kama kaisha release tayari.

Personal Views.
 
Back
Top Bottom