- Thread starter
- #41
Tumia Google play store kudownload latest version
Ila nashauri tuhamie telegram iko poa, unatuma video mpaka 1Gb na simu haijai photos
Now OGWhatsapp inapiga mzigo fresh kabisa na ikiwa na mabadiliko kadhaa still ni ile ile version ambayo ime expire ila Imefanyiwa barekebisho kama inavyoonekana kwenye picha
Hiyo mpya umeitoa wap mkuu ? Una apk zake ?
Siyo mpya mkuu ni ile ile sema imefanyiwa marekebisho ya kuondoa update check, hivyo haina tena kuupdate https://play.google.com/store/apps...a poa, n hata ukisearch playstor hailet Og
Mkuu link haijakaa poa, n hata ukisearch playstor hailet Og
Mkuu ngoja niiweke kwa dropbox nikupe link
Badilisha tarehe kama exp ilikuwa tarehe 4 March bac ludisha nyuma iwe 2 march lazma isome ila jua kama ili exp 4 march jua kila ikifika 4 March ina ban
Poaa poaa ila sina ac ya drop box ,iweke open tu niifate hiyo link
Badilisha tarehe kama exp ilikuwa tarehe 4 March bac ludisha nyuma iwe 2 march lazma isome ila jua kama ili exp 4 march jua kila ikifika 4 March ina ban
Badilisha tarehe kama exp ilikuwa tarehe 4 March bac ludisha nyuma iwe 2 march lazma isome ila jua kama ili exp 4 march jua kila ikifika 4 March ina ban.
Mkuu link hii hapa https://www.dropbox.com/s/rt7yp7pfvbmennn/OGwhatsapp.apk?dl=0