OGwhatsApp imebuma tena

Mimi ninayo update mpya ya ogwhatsap anae taka anione pm kwa kunitumia namba yake whatsap nitamtumia
 
wakuu tumieni hii latest update. ila fanyeni kama nitavyo waelekeza: kwanza shusha Whatsap original kasha chat na mtu 1 kidogo then backup kasha uninstall hio origanl nenda my file utaona file whatsApp lifanyie Rename OGWhatsApp.halafu ndio shusheni ogwhatsap ktk link hii::: https://www.dropbox.com/s/bq7cfrs813...tsapp.apk?dl=0
 

Mkuu ogwhatsapp inakubali kwa sasa au wrewe hujui kuwa ilishapigwa stop toka mwezi wa tatu?
 

Mbona hate hiyo ENWhatsapp nayo inakataa?
 
Mkuu nipe time hadi kesho nitaweka full information ktk OG na EN na link zake pia na full details.
Thanks
 
wakuu napenda kuwajulisha ambao walikua wanatumia OGWhatsap au ENWhatsap futeni file zote za zamani kwa sababu hizo ndio zinaleta tatizo kwa hizi update mpya. kama kuna namba unataka kuiweka ktk ENWhatsap kwanza itumie ktk Orignal whatsap then chat na mtu halafu fanya backup the uninstall original whatsApp....then nenda ktk my file utaona file limeandikwa WhatsApp rename to ENWhatsAPP...Halafu shusha hii link ya ENwhatsapp........ENWApp_v1.0.1
 

Link haioneshi app.
 
mkuu hichi kitu kipya kilicho fanyiwa modification from ver 432 ipo poa fata masharti yake tu.

Vipi app ya SAWhatsapp inawezekana kuwekwa na hiyo ENWhatsapp pamoja na official whatsapp kwa mara moja?
 
wakuu wengi wamenitumia pm msg yakua OGWhatsap imekubali na hii EN pia imekubali.
 
pia tupo ktk Group la Satellite Technology watakao penda kujiunga tuma ujumbe ITA kwenda namba +1661 486 4584 kwa kutumia whatsap.
 
Naomba maelekezo ya jinsi ya kuinstall whatsApp+.
Nimejaribu kila wakati inasema "An existing package by the same name with a conflicting signature is already installed" wakati nishaidelete
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…