poposindege
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 456
- 175
Subiri uchakachuzi uko kwenye karakana wewe subiri tu. Its a rat and cat game.
Mbona kwangu ipo sawa tu?
Nani anatumia pia ENWhatsapp na SAWhatsapp?
Ogwhatsapp kwa sasa ni sawhatsapp
tuwekee folder tunyonye na sisi
mbona kwangu ipo sawa tu?
Nani anatumia pia enwhatsapp na sawhatsapp?
Msaada wakuu nilikua na instal hio whatsap imenambia incorrect date sasa nafanyaje
msaada kuiweka hii inaniambia nibadil tarehe ya simu
Mkuu nimedownload Enwhatsapp but nikitaka kujisajili yani tayari nimeshaandika namba ina leta iviwakuu wanao ulizia OGWhatsap hakuna kwa sasa imestop ila kuna wale walio weka toka zamani kuna version fulan bado inafanya kazi ila na huyo mtu aki unstall tu basi hawezi kurudisha tena au hata mtu akikopy hio verson toka kwa mtu basi hawezi kuitumia katika simu yake inabidi tusubiri kidogo tutapata update. kwa sasa tumieni ENWhatsap tu.
Hivi hizo CNWhatsapp etc zinatumika pia kweye simu inayotumi whatsapp+? maana mimi ya kwangu inatumia whatsapp+ na sijawahi kupigwa ban?
msaada kuiweka hii inaniambia nibadil tarehe ya simu
wakuu wanao ulizia OGWhatsap hakuna kwa sasa imestop ila kuna wale walio weka toka zamani kuna version fulan bado inafanya kazi ila na huyo mtu aki unstall tu basi hawezi kurudisha tena au hata mtu akikopy hio verson toka kwa mtu basi hawezi kuitumia katika simu yake inabidi tusubiri kidogo tutapata update. kwa sasa tumieni ENWhatsap tu.