AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,049
Kichwa maji.
Kama views zangu zio pejorative basi ni vyema ukanikosoa kwa hoja.
Kichwa maji usianzishe thread zisizo na mashiko ili upate comments nyingi. Jipange.Kama views zangu zio pejorative basi ni vyema ukanikosoa kwa hoja.
JF.
Hii ni special kwa vijana wenzangu ambao tumemaliza 4m4 ktk kipind hiki kigumu cha Mulugo 2012,
Ni vyema tujue kuwa comb dhaifu huzaa faculty dhaifu, faculty dhaifu huzaa chuo dhaifu, chuo dhaifu huzaa taaluma dhaifu, taaluma dhaifu huzaa ajira/kazi dhaifu na mwisho wa siku ajira/kazi huzaa maisha dhaifu.
Ahsanteni....
Huyu sio kichwa maji, ni kichwa matope. Ni katika zile zero 260, 000
Ha ha ha ha ha!!!anataka watu wote wasomee ktu kimoja wote wawe madoctor amesahau kuwa kuna idala zngne znatapwayaa kama IT kweli vijana kama huyu n tatizo!
JF.
Hii ni special kwa vijana wenzangu ambao tumemaliza 4m4 ktk kipind hiki kigumu cha Mulugo 2012,
Ni vyema tujue kuwa comb dhaifu huzaa faculty dhaifu, faculty dhaifu huzaa chuo dhaifu, chuo dhaifu huzaa taaluma dhaifu, taaluma dhaifu huzaa ajira/kazi dhaifu na mwisho wa siku ajira/kazi huzaa maisha dhaifu.
Ahsanteni....
Kweli mulugo kaua Elimu kijana 4m 4 unakuwa na mawazo ya kipumbavu namna hii hili ni janga(TATIZO UMESOMA WAKAT ELIMU IMESHUKA KIWANGO under Mulugo)Una hisa ndogo sana ya akili kijana wa darasa la 3 anaweza kukushnda ktk kufikiri,una umri wa kuzaliwa mkubwa lakn una uwezo mdogo wa kufikiri sawa na mtoto mwenye miaka 10,POLE SANA KIJANA SIYO WW NI MULUGO,umeshndwa kufkria kwa nn waliweka hz combination kwelili ww n ZUZU!

Huyu kijana sifa inayomfaa ni kumpa jina la 'dead brain idiot'
Sasa bwana mdogo unapozungumzia kombi dhaifu unaongea kwa fikra ambazo ni yakinifu au?
Inamaana kama lengo la mtu ni kuwa mwanasheria basi akisoma HKL au HGL atakuwa mwanasheria tena yule ambaye ni dhaifu. Si ndio?
Hapama my bro! Nilichokusudia ni kuwainspire vijana wenzangu kusoma comb ngumu.