Ogopen wake za watu jamani loh@

Ogopen wake za watu jamani loh@

BASIASI

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2010
Posts
9,732
Reaction score
5,011
Kuna ukweli wengine wake zao upenda vijana lakini ukijua ni mke wa mtu jihadhari hata kama anakupenda huu ni ushauri tu ingawa mida hii nimetumiwa msg na mmtu ati kuanzia leo

ukihisi huyu mke wa mtu kabla ya kuingiza kwanza weka kidole kikinasa shuguli imeanza afadhali mnaweza kukubaliana na bibie mkate kidole lakaini sio kule ...sidhan hii ni suluhisho kama unaweza acha kabisa hasa wale wanaoruka ukuta kwanini uruke ukuta mkeo wa mwenzio jamani wakati wa kuzaaa anatukanwa mumewe kumbe ulikuwa unashigulika wewe

jiulize mko wangapi mnashare mke wa mtu???
 
Lol!..Dawa ni Kuacha tu..hizo za sijui kutumbukiza kidole mbwembwe tu!....by the way ni upepo tu...
 
hahaaa yaani nimecheka!
Utumbukize kidole kwanza!!?khaa!
 
jamani nyie acheni mke wa mtu mtamu alafu sikujua kuwa siku hizi wanatoa tigo...kha sasa vijana tutawakimbilia hao hao wake za watu maana inaelekea wanaogopa kuwaomba waume zao wawaonje tigo zao hivyo inabidi watoke ili waridhishwe lol..vijana tuwape dozi wake watakao tigo lah sivyo watenda nje
 
Kuna ukweli wengine wake zao upenda vijana lakini ukijua ni mke wa mtu jihadhari hata kama anakupenda huu ni ushauri tu ingawa mida hii nimetumiwa msg na mmtu ati kuanzia leo

ukihisi huyu mke wa mtu kabla ya kuingiza kwanza weka kidole kikinasa shuguli imeanza afadhali mnaweza kukubaliana na bibie mkate kidole lakaini sio kule ...sidhan hii ni suluhisho kama unaweza acha kabisa hasa wale wanaoruka ukuta kwanini uruke ukuta mkeo wa mwenzio jamani wakati wa kuzaaa anatukanwa mumewe kumbe ulikuwa unashigulika wewe

jiulize mko wangapi mnashare mke wa mtu???

kama ukianza na ulimi jee.... LOL !!
 
kila mtu na awe na mke wake mwenyewe matatizo haya hayawezi kutokea. shetani ashindwe
 
Halafu hiyo dawa ilikuwa ime expire,ninayoifahamu mimi inanasa mpaka kitanda.
 
mathcom we 'noma dah sijui unanasaje alafu polisi wakija kukuchukua wanakubebaje ulimi umenansa ile sehemu lah
 
kuna msg nimepokea wanaziidi kujipa moyo ati kabla ya kuanza unauliza "mwaya mwenzangu una password ya kufungulia"""isije ikakwama kumbe password anayo jamaa
 
Back
Top Bottom